USHAURI: Mwanaume mwenye huyu mwanamke, mwambie afunge akaunti yake fb kwa usalama wako

Jamani, wakati tukisheherekea muungano wetu nimeona fb nikakutana na huyu mwanamke (nimeweka picha 6). Yaani nilistuka sana. Inakuwaje ewe mwanaume unamruhusu amiliki simu,tena smart phone mpaka anaingia fb hivi jamani?

Umemchoka? Au unawaonesha wanaume kwamba we una chombo?

Yaani ukiingia inbox, anakuja fasta. Kwann usimshauri akaachana na matumizi ya simu hizi za kisasa?

Chunga mzigo wako.

View attachment 501495View attachment 501496View attachment 501497View attachment 501499View attachment 501500View attachment 501501
Ndio umekuja kujitangaza huku? Tutolee ujingwa wako humu jf,

Huo upuuzi wako kauongelee huko fb na watoto wenzako,

Hivi vitoto vya fesibuku ndio vinakuja kuharibu jf,hii jf haikua na mambo ya kijinga kiasi hiki.
 
Mbn wa kawaida sana acha kusifia upumbavu au ndo unabalehe nn au ndo umenunua smartphone inakupa mawenge huko Fb sifia vitu vyenye tija peleka huo upuuzi huko instagram.
Mkuu hivi vitoto vikishanunuliwa simu na shemeji zao basi hukimbilia huku na kuleta mambo ya kipuuzi huku.
 
Jamani, wakati tukisheherekea muungano wetu nimeona fb nikakutana na huyu mwanamke (nimeweka picha 6). Yaani nilistuka sana. Inakuwaje ewe mwanaume unamruhusu amiliki simu,tena smart phone mpaka anaingia fb hivi jamani?

Umemchoka? Au unawaonesha wanaume kwamba we una chombo?

Yaani ukiingia inbox, anakuja fasta. Kwann usimshauri akaachana na matumizi ya simu hizi za kisasa?

Chunga mzigo wako.

View attachment 501495View attachment 501496View attachment 501497View attachment 501499View attachment 501500View attachment 501501

Huenda huyu hizi picha si zake ila anataka tu attention toka kwa wanaume uchwara hususan wabunge wetu.
 
tunakusubiri ukirudia kuomba ushauri baada ya kuingizwa mjini.

Back
Top Bottom