Ushauri: Mwanaume anataka kunioa lakini ana maumbile madogo

We umbile lako kubwa Au dogo,watoto wako Wa kike je watakuwa na maumbile ya aina gani, halafu huyo Jamaa unamdanganya maana hujamkubali kama alivyo, umeshaandaa Mpango wa kando
 
Kibamia kitakunyima raha kisaikolojia siku za mbele kwa kuwa tayari una uzoefu na mihogo. Maisha yako yote yatatawaliwa na stress, ambayo itakufanya ufe mapema. Kwa nn ukaribishe matatizo?? Achana nae huyo!!!
 
Wazima ?

Ninashida jamani, nina mwanaume anataka kunioa lakini maumbile yake ya kiume ni madogo sana. Kwangu mimi haina tatizo kwasababu nimempenda kutoka moyoni.

Ila sasa nimekuwa nikiwaza kuwa endapo nitazaa nae watoto wa kiume lazima mambo ya "genetics" yatakuepo hivyo nina hatari ya kupata watoto wa kiume wenye maumbile madogo.

Napata mawazo sana nikifikiria hili sitaki hiyo kitu kwa watoto wangu, nifanyeje?
...huyo jamaa hakufai achana nae,..tafuta kubwa
 
Mambo hayaendi ivyo unavyofkiria, PENGINE KAMA BABU YAKO ANA KOBORE PENGINE PIA WARITHI KWA BABU
 
Wazima ?

Ninashida jamani, nina mwanaume anataka kunioa lakini maumbile yake ya kiume ni madogo sana. Kwangu mimi haina tatizo kwasababu nimempenda kutoka moyoni.

Ila sasa nimekuwa nikiwaza kuwa endapo nitazaa nae watoto wa kiume lazima mambo ya "genetics" yatakuepo hivyo nina hatari ya kupata watoto wa kiume wenye maumbile madogo.

Napata mawazo sana nikifikiria hili sitaki hiyo kitu kwa watoto wangu, nifanyeje?
Yani mwenzio katangaza ndoa tu wewe ushaanza kukimbilia huku kutuelezea maumbile yake! Na ya kwako je yakoje kwani? Ama kweli KOSEA KUJENGA NA SIO KUOA
 
Unaweza ukapiga tarumbeta kwa nguvu zote, lakini halitasikika vizuri kama ukiwa unalipigia katikati ya uwanja Wa taifa..

Litasikika kama tu utalipigia kwenye ukumbi Wa wastani
 
Wazima ?

Ninashida jamani, nina mwanaume anataka kunioa lakini maumbile yake ya kiume ni madogo sana. Kwangu mimi haina tatizo kwasababu nimempenda kutoka moyoni.

Ila sasa nimekuwa nikiwaza kuwa endapo nitazaa nae watoto wa kiume lazima mambo ya "genetics" yatakuepo hivyo nina hatari ya kupata watoto wa kiume wenye maumbile madogo.

Napata mawazo sana nikifikiria hili sitaki hiyo kitu kwa watoto wangu, nifanyeje?
Kwani umbile dogo ni tatizo au?au hafanyi kazi?
 
Kama maumbile madogo yapo kwa huyo Huby wako na bado umempenda na kuridhikanaye na it seems anakukojoza vyakutosha.. So hata kwa hata hao watoto wenu naamini watapendwa tu na watakojoza papuchi vizuri kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom