Kuna jamaa mmoja alichukua mtoto wa kule kwetu Kwamtogole uswaz, mambo ya chakula, kwa bed mtoto yuko vizuri, sasa mambo ya exposure ndiyo ilikuwa shida kidogo. Jamaa akimwambie wanatoka mtoto anatoka na upande wa kitenge kiunoni, basi ilikuwa inamkera kweli, mwisho aliwaambia dada zake, mawifi wakamweka kikao kuwa haya mambo mume wako yanambore, alishaambiwa lakini alikuwa haelewi, mawifi zake wakamwambia hakuna anatetaka kwenda bar na mwanamke ana tenge kiunoni, wewe utakuwa wa humu ndani tu.
mke alidhani jamaa anatania.Huyo jamaa alishindwa kumwambia wife wake hadi Dada zake wamsaidie?