Ushauri murua wa Marehemu sheikh Hemed bin Juma kwa wanasiasa

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
25,097
2,000
Kuna ushauri aliwahi utoa kwa wanasiasa akiwasihi

Alisema hivi:

Kuna viungo viwili vikubwa ambavyo mwanasiasa yeyote inabidi ajichunge na awe navyo makini
1.Kile kilicho katikati ya mdomo yaani ASILANI
2.Kile kilicho katikati ya mapaja yaani ABADANI
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom