Ushauri: Mtoto wangu wa nje ya ndoa kapewa baba mwingine

Hiyo case ngumu na nirahisi.
Ngumu kivipi huyo x wako unataka kumweka majaribuni coz ulivyomwacha yeye alimbambika jamaa yake ili huyo unayedai mwanao asiteseke kutokana na hasira zenu.
Rahisi kivipi kama busara zitatumika pande zote aliye lea na anayedai hiyo damu yake.
Ushauri kaa na x wako ujadili mkubaliane coz kumnyang'anya mtu mtoto ambaye alijua ni mwanaye sio kitu simple.
Au potezea tuu na ujue hasira ni hasira siku zote.

Hivi unaijua damu wewe? apotezee? na itakuwa siri mpaka lini?
 
Aisee mimi naomba kwanza nideal na wanaume wenzangu katika hili:

Utafanya nini iwapo utagundua baada ya mika 3 na kuendelea (pengine 30) kwamba mtoto uliyemlea kwa nguvu zote na upendo sio wako..na kwamba all along wife ALIJUA. baba halali ALIJUA NA AKAMTAKA MTOTO BILA MAFANIKIO na kwamba wifge alikuficha ili "usikasirike"?

Oooh, kwa unafiki wenu mtasema mtapotezea sio? Na kumwambia wife "mke wangu kweli unanipenda na kunithamini mpaka ukanipa mtoto wa mtu mwingine miaka yote hii"

Au to put it better: kipi bora kujua mapema kuwa mtoto sio wako au kujua baada ya muda mrefu...

the second greatest sin is not to use the brain God gave you...the first is to deny the truth
 
Hakuna viumbe dhaifu km mwanamke.!Kwa kuwa huyo jamaa aliyetunza toka mimba wametengana pia rudisha majeshi hapo kwake jifanye unampenda sn na zilikuwa hasira tu.Na mwambie ukweli umeshaoa lakini bado nafasi yake hpo ktk moyo wako then mpangie chumba kimoja hapa dar,nunua mazagazaga yote muwekee ndani baada ya hapo mpe km ck 3 then mtoe out km beach hv na sehem nyngnezo.ikifka jioni pita nae hotelin kwa ajili ya dinner.USISAHAU KUKUMBUSHIA ENZI(Usilale nje ya ndoa yako).

SIKU HYO USIMWAMBIE CHOCHOTE KUHUSU MTOTO BUT SIKU YA PILI YAKE MWAMBIE UNA HAMU YA KUMUONA MTOTO JAPO MARA 1 NA UWE MPOLE SN UKINYENYEKEA.HAPO HAWEZI KURUKA HATA KM ANA PhD.
Tunatakiwa kuishi nao kwa AKILI.Usione gharama hapo na huyo mtoto unamchukua bure kabisa.VIUMBE DHAHIFU HAO
 
aiseeee hii ishu omba isikukute ni ngumu kweli ila ukweli unatakiwa ufahamike mapema aiseeee
 
embu ishi maisha yako mawswala ya kumchukua mtoto umpeleke kwa mama wa kambo nooo... ila tu kuwa responsible kuna kunakutoa msaada... muwe mnauliza kama tumeachana kuna ujauzito
 
Hakuna viumbe dhaifu km mwanamke.!Kwa kuwa huyo jamaa aliyetunza toka mimba wametengana pia rudisha majeshi hapo kwake jifanye unampenda sn na zilikuwa hasira tu.Na mwambie ukweli umeshaoa lakini bado nafasi yake hpo ktk moyo wako then mpangie chumba kimoja hapa dar,nunua mazagazaga yote muwekee ndani baada ya hapo mpe km ck 3 then mtoe out km beach hv na sehem nyngnezo.ikifka jioni pita nae hotelin kwa ajili ya dinner.USISAHAU KUKUMBUSHIA ENZI(Usilale nje ya ndoa yako).
SIKU HYO USIMWAMBIE CHOCHOTE KUHUSU MTOTO BUT SIKU YA PILI YAKE MWAMBIE UNA HAMU YA KUMUONA MTOTO JAPO MARA 1 NA UWE MPOLE SN UKINYENYEKEA.HAPO HAWEZI KURUKA HATA KM ANA PhD.
Tunatakiwa kuishi nao kwa AKILI.Usione gharama hapo na huyo mtoto unamchukua bure kabisa.VIUMBE DHAHIFU HAO

Ilikuwaje Arsenal wakashinda gemu then nasikia wametolewa UEFA? Si walishinda???
 
si lazima hasa pale tunapoacha na maneno kama maalaya wewe na matusi kibao.. sikuonyeshi mtoto malaaya hazai na mtakatifu

hapo unakuwa unamsababishia mtoto wako matatizo ya baadae..na obviously kama tunaachana kwa sababu umekuwa sio muaminifu unategemea nitakutukana tusi gani? "muuza spare za pikipiki wewe" au?

ok, ukiamua kutonambia nikijua na nikataka kulianzisha kumchukua mwanangu usilie na kunambia tuyaache kama yalivyo, ooh sijui kuna baba kamlea, weee! weeee!
 
Back
Top Bottom