FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,108
- 13,346
Wanakowanyima kuraMtaani ni wapi?
Wanakowanyima kuraMtaani ni wapi?
Kikubwa ni udicteta ndo tukitu tunaendeshwa nachoHebu tuwekee hiyo clip ya mheshimiwa Rais akitoa maelekeza kwa ma DED maana sijawahi kuisikia mbali na kuona tu watu waki comment. Sidhani kama mh. Rais anaweza kutoa kauli hiyo
Unachosema kinaweza kuwa sahihi lkn nini kifanyike?Aliyeshinda kashindwa, aliyeshindwa kang'ara
Aliyeshinda katendwa, Aliyeshindwa kapora
Aliyeshinda kapondwa, Aliyeshindwa hongera
UCHAGUZI USO HURU, THAMANI YA KURA NINI?
Ashinikizwe kwa njia gani? Wakati njia inatafutwa upinzani uendelee kushiriki uchaguzi ama la?Tatizo ni huyu dikteta uchwara anayejifanya anaunga mkono mfumo wa vyama vingi nchini lakini wakati huo huo hataki viwe huru kufanya shughuli zake za kisiasa nchini bila yeye kuviingilia. Ashinikizwe huyu aamue kimoja ama mfumo wa vyama vingi au kimoja badala ya kuendeleza unafiki wake ambao unaweza kuwa chanzo cha umwagaji mkubwa wa damu nchini.