USHAURI: Mshahara ulipwe kwa awamu mbili

Smartgeneration

New Member
Jul 18, 2022
2
5
Habari za majukumu wana JamiiForums.

Andiko langu la leo ni juu ya namna ya mshahara wa mtumishi ulipwe, kuzingatia mabadiliko ya mifumo ya maisha kupanda na kushuka kwa gharama za maisha napendekeza watumishi wa umma walipwe kwa awamu mbili nikiwa na maana ya tarehe 15 na tarehe 30 ya mwezi husika. Hili linawezekana kwa sababu tumeshuhudia Serikali ikiongeza baadhi ya kodi ili kuweza kumudu majukumu yake ya Kiserikali ikiwemo ujenzi wa miundombinu na kadharika.

Hivyo basi ni muhimu hata kwa watumishi kuweza kulipwa kwa tarehe mbili tofauti ili kusudi kupunguza ukali wa maisha na kufanya mzunguko wa fedha kuwa rafiki kwa kila mtu, ukweli ni kwamba fedha ya mtumishi ndio chachu ya maendeleo kwa kila sekta hususani katika usafiri na ata madukani tunashuhudia tukioa tarehe za sasa za mishahara zikitoka pilikapilika zinavyokua nyingi.

Mara kadhaa mwisho wa mwezi umekua ukibebeshwa majukumu mengi kutokana na mfumo uliopo sasa, majukumu hayo ni kama mahitaji ya nyumbani ni mwisho wa mwezi, kulipa kodi ya nyumba mwisho wa mwezi, kulipa ada ya mtoto ni mwisha wa mwezi, kuwatumia fedha wazazi ni mwisho wa mwezi, hivyo inafanya mshahara wa mtumishi kuwa na majukumu mengi kwa wakati mmoja.

Mfano mtumishi anayelipwa laki sita kwa mwezi atalipwa laki tatu tarehe 15 na laki tatu tarehe 30 na hii itasaidia kuweza kumudu mahitaji yake ya razima ya kila siku na kuchochea maendereoa kwa haraka ndani ya muda mfupi.

Ama baadhi ya taasisi za umma au sekta binafsi ziwe zinatoa mshahara tarehe 15, kwa mfano walimu wawe wanalipwa kila tarehe 15 ya mwezi na sekta nyingine kama afya iwe inalipa kila tarehe 30 ya mwisho wa mwezi, lengo kuu ni kuongeza mzunguko wa fedha katika nchi yetu.

Asanteni sana

Nawasilisha
 
Kwa kufanya hivyo kiasi Cha mshahara kitaongezeka ???!!!
 
Alafu unajiita Smartgeneration!
Umeandika nini sasa?
 
Kupanda kwa gharama za maisha ni kwa Mataifa yote, tofauti ni jinsi gani viongozi wanavyojitahidi to remedy tatizo hili, Tanzania we need more political will kuchukua maamuzi magumu;BOT isiendeshwe kisiasa bali kitaalamu,wapewe jukumu la kulinda thamani ya pesa yetu, wawe ni waangalizi wa uchumi wetu hasa kuhusu inflation ili riba ziwe ndani ya uwezo wetu, na Tshs. Yetu tu Isimike against ZWK na zero zote tuondoe tubakiwe na noti ya 100 ya juu kabisa, salaries watumishi wa serikali walipwe on 15th ya kila mwezi na the rest 25th ya kila mwezi ili kuepusha vurugu za mwisho wa mwezi.
 
Habari za majukumu wana JamiiForums.

Andiko langu la leo ni juu ya namna ya mshahara wa mtumishi ulipwe, kuzingatia mabadiliko ya mifumo ya maisha kupanda na kushuka kwa gharama za maisha napendekeza watumishi wa umma walipwe kwa awamu mbili nikiwa na maana ya tarehe 15 na tarehe 30 ya mwezi husika. Hili linawezekana kwa sababu tumeshuhudia Serikali ikiongeza baadhi ya kodi ili kuweza kumudu majukumu yake ya Kiserikali ikiwemo ujenzi wa miundombinu na kadharika.

Hivyo basi ni muhimu hata kwa watumishi kuweza kulipwa kwa tarehe mbili tofauti ili kusudi kupunguza ukali wa maisha na kufanya mzunguko wa fedha kuwa rafiki kwa kila mtu, ukweli ni kwamba fedha ya mtumishi ndio chachu ya maendeleo kwa kila sekta hususani katika usafiri na ata madukani tunashuhudia tukioa tarehe za sasa za mishahara zikitoka pilikapilika zinavyokua nyingi.

Mara kadhaa mwisho wa mwezi umekua ukibebeshwa majukumu mengi kutokana na mfumo uliopo sasa, majukumu hayo ni kama mahitaji ya nyumbani ni mwisho wa mwezi, kulipa kodi ya nyumba mwisho wa mwezi, kulipa ada ya mtoto ni mwisha wa mwezi, kuwatumia fedha wazazi ni mwisho wa mwezi, hivyo inafanya mshahara wa mtumishi kuwa na majukumu mengi kwa wakati mmoja.

Mfano mtumishi anayelipwa laki sita kwa mwezi atalipwa laki tatu tarehe 15 na laki tatu tarehe 30 na hii itasaidia kuweza kumudu mahitaji yake ya razima ya kila siku na kuchochea maendereoa kwa haraka ndani ya muda mfupi.

Ama baadhi ya taasisi za umma au sekta binafsi ziwe zinatoa mshahara tarehe 15, kwa mfano walimu wawe wanalipwa kila tarehe 15 ya mwezi na sekta nyingine kama afya iwe inalipa kila tarehe 30 ya mwisho wa mwezi, lengo kuu ni kuongeza mzunguko wa fedha katika nchi yetu.

Asanteni sana

Nawasilisha
Hautoshi uugawe tena mara mbili? Ccm hovyo! Wabunge wa Jiwe mil 12 kwa mwezi kwa kugonga meza tu! Takataka wahead!
 
Kila siku taifa linazidi kurudi nyuma kutokana na kuongezeka vijana wengi wenye mtindio wa kufikiri na kufanya maamuzi. Hii nchi tumefikia pabaya sana.
Mataifa yaliyoendelea watu wanalipwa kwa saa kama sio kwa wiki, hivyo wewe ndiye mwenye udumavu kama sio mtindio wa ubongo.
 
Hata waamue kulipa kwa awamu 4 bado haitasaidia kitu! Maana siku zote mshahara hautoshi. Na kama huu wa kwetu ndiyo kabisaa! Ni majanga matupu.

Hapa dawa ni kujiongeza tu kwa namna yoyote ile.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom