Ushauri: Mpenzi wangu ana kisirani na hasira za haraka

Ukute ni another Ashley Patterson wa Tell me your dreams. MPD is not so popular in Tz, but you never know.
Mr.Dan some of women in tz have PD wether is NPD,BPD,HPD.
The problem is jamii ya kitanzania hawako aware kuwa haya magonjwa yako...

Kuna haja ya kuanzisha personality disorder forum ambayo itawaelimisha jamii kuhusu magonjwa hayo.
 
Nadhani kuna jukwaa la utabibu ama kitu kama hicho. Anzisha thread ya elimu husika.
 
Salaam wanajamvi. Heri ya mwaka mpya 2017.
Jamani Mimi ni Kijana wa kiume nina mpenzi wangu tunapendana nina mahusiano naye sasa yapata mwaka mmoja.

Tatizo linalonisumbua hadi nashindwa kuelewa ni kwamba ana kisirani na hasira za haraka hata kwa jambo dogo halafu baadae akitulia anasema alikuwa hajijui, pamoja na hilo nimemsisitiza suala la ndoa ila anasema hadi ajiandae

Pamoja na hayo yapo baadhi ya mambo ambayo yananifanya nishindwe kumuelewa dhamira ya uhusiano wetu na hatma yake.
Mmmh mzee itakuwa mpenzi wetu mmoja
 
Tatizo humkuni vizuri.... mwanamke kama hajakunwa siku nyingi au hajakunwa vizuri huwa anakuwa kwenye mood ya hasira au kisiran.

Jichunguze unamkunaje??
 
Nashukuru kwa wanaotoa ushauri chanya kwangu na hao wanaonidhihaki lazima wafahamu Matatizo sio kwangu tu hata wao watayapata ya namna nyingine.
 
Mwambie aache kutumia mirungi

Pisa chini, wasichana wa kuoa ni wengi tu.
 
Dunia ya leo mwanamke kusema bado hajajiandaa kuolewa aisee
Wapo mkuu, mdogo wangu hataki hata kusikia amepania mpaka achukue PHD yake nxt year Inshallah lakini kila anaekuja anamwambia kama utaweza kusubiri subiri ila kuolewa nikapewa stress huku nasoma BIG NO..nadhani hua nimamuzi tuu..
 
atlist huyo tayar ana malengo yake na haolew kwasababu maalumu and not otherwise sasa huyo wa mwenzetu sjui kama ana PHD
 
Salaam wanajamvi. Heri ya mwaka mpya 2017.
Jamani Mimi ni Kijana wa kiume nina mpenzi wangu tunapendana nina mahusiano naye sasa yapata mwaka mmoja.

Tatizo linalonisumbua hadi nashindwa kuelewa ni kwamba ana kisirani na hasira za haraka hata kwa jambo dogo halafu baadae akitulia anasema alikuwa hajijui, pamoja na hilo nimemsisitiza suala la ndoa ila anasema hadi ajiandae

Pamoja na hayo yapo baadhi ya mambo ambayo yananifanya nishindwe kumuelewa dhamira ya uhusiano wetu na hatma yake.
Sio mjamzito kweli huyo?
 
Wanaume tu wachache dunia hii lakini ndio tunaongoza kulia lia kwenye mahusiano nyakati hizi...
Hapo ndo utaamini huu mchezo sterling mwanamke.

Kwa wanaume wasiyo na pesa!
 
Salaam wanajamvi. Heri ya mwaka mpya 2017.
Jamani Mimi ni Kijana wa kiume nina mpenzi wangu tunapendana nina mahusiano naye sasa yapata mwaka mmoja.

Tatizo linalonisumbua hadi nashindwa kuelewa ni kwamba ana kisirani na hasira za haraka hata kwa jambo dogo halafu baadae akitulia anasema alikuwa hajijui, pamoja na hilo nimemsisitiza suala la ndoa ila anasema hadi ajiandae

Pamoja na hayo yapo baadhi ya mambo ambayo yananifanya nishindwe kumuelewa dhamira ya uhusiano wetu na hatma yake.
Itabidi uwe na Maji ya kutosha ndani ili kila akiwa na mihemko unampa Maji atatulia tu
 
Back
Top Bottom