USHAURI:Mnaotarajia kuomba nafasi za kusoma Vyuo Vikuu,pitieni hapa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

USHAURI:Mnaotarajia kuomba nafasi za kusoma Vyuo Vikuu,pitieni hapa!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Msafiri Kasian, May 2, 2012.

 1. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Nimejaribu kupitia thread nyingi za watu ambao wanaomba ushauri kuhusu,wanaweza kusoma nini Chuo Kikuu,na maswali mengine kama hayo. Nimegundua kwamba,watu wengi hawajasoma "Admissions Guidebook for the
  2012/2013 Academic year" ambapo wangeweza kupata majibu mengi ya maswali yao. Hivyo basi,nawashauri wote wenye mpango wa kuomba vyuo na mikopo mwaka huu,wafungue hizi websites 'www.tcu.go.tz',pia 'www.heslb.go.tz ' au 'olas.heslb.go.tz' kuna maelezo na taarifa za muhimu.
  "Admissions Guidebook for the
  2012/2013 Academic year" unaweza kukisoma kwa urahisi kama unaweza kukidownload (ni pdf file).Mf.Mimi nina adobe reader kwenye simu yangu,nimekidownload na ninauwezo wa kukisoma muda wowote.Huu ndo muda wa kuhakikisha unakipata mapema na kusoma kwa makini,ili uweze kupata kozi nzuri.
  Nawashauri mpitie kwanza hiki kitabu na kusoma taarifa muhimu kwenye hizo website hapo juu ndo yakikushinda uandike thread ya kuomba msaada.
   
 2. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,097
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  KUNA MAIN THREAD NIMEIANZISHA TOKA JANA NIMEVINOTICE HIVI VITU MAPEMA ILA NAONA NI MCHECHE WA WATU ILA HIVI NI MUHIMU SANA https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/260290-kwa-wale-waliomaliza-kidato-cha-sita-na-diploma-wanaotarajia-kuingia-mavyuoni-someni-hapa.html
   
 3. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Asante sana kaka Maganga Mkweli,yaani baada ya kupost hii,ndo nikaiona yakwako. Ina maelezo ya kutosheleza kabisa,wote walioko kwenye mchakato huo msome post ya Maganga Mkweli,yenye heading "Kwa wale
  waliomaliza kidato
  cha sita na diploma
  wanaotarajia kuingia
  mavyuoni someni
  hapa",na mtapata mengi zaidi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,097
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  tuko pamoja sana kamanda tusaidie wadogo na ndugu zetu kwenye hichi kipindi cha kutafuta chuo maana mfumo wa nchi kupata taarifa ni utata sana
  Msafiri Kasian
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...