USHAURI: Mnaotaka kufunga ndoa kwa sherehe kubwa zingatieni haya kuepuka lawama za watu

Umetoa lak 2 ukute kuna kasoro kesho utachanga tena?
Mimi hapo nyuma July mwaka huu kuna harusi nilichangia 300K na sijaenda,nyengine huwa naenda nikiwa na nafasi ila sababu situmii kilevi nakunywa Grand Malta moja mixer Sprite na chakula kidogo then ule wakati wa zawadi naenda kumpa mkono kwa heshima yake ajue kwamba nilikuwepo kisha naondoka.

Kuchangia siyo ndo ule saana na nyie ndo mnaojitiaga vidole kujitapisha ili uanze kunywa upya,mpe mtu kampan kiroho safi wewe hujawahi kuchangia harusi ukaambiwa inafanyika mkoani sasa wewe kwa slogan hii si utataka kupigana kabisa?
 
We umehudhuria harusi..
Kula kikichopo.. kunywa kilichopo
Wape maharusi zawadi. Piga picha..timua..

Wewe unakagua kasoro kwani unaandaa documentary ya kasoro za harusi??..

Mbona zipo harusi zina kila kitu lakini
Waalikwa hamji na zawadi..mnaishia kuwapa mikono Tu maharusi..??
Nitoe mchango na kutoa zawadi?
 
Mimi hapo nyuma July mwaka huu kuna harusi nilichangia 300K na sijaenda,nyengine huwa naenda nikiwa na nafasi ila sababu situmii kilevi nakunywa Grand Malta moja mixer Sprite na chakula kidogo then ule wakati wa zawadi naenda kumpa mkono kwa heshima yake ajue kwamba nilikuwepo kisha naondoka.

Kuchangia siyo ndo ule saana mpe mtu kampan kiroho safi,wewe hujawahi kuchangia harusi ukaambiwa inafanyika mkoani sasa wewe kwa slogan hii si utataka kupigana kabisa?

Mimi hapo nyuma July mwaka huu kuna harusi nilichangia 300K na sijaenda,nyengine huwa naenda nikiwa na nafasi ila sababu situmii kilevi nakunywa Grand Malta moja mixer Sprite na chakula kidogo then ule wakati wa zawadi naenda kumpa mkono kwa heshima yake ajue kwamba nilikuwepo kisha naondoka.

Kuchangia siyo ndo ule saana na nyie ndo mnaojitiaga vidole kujitapisha ili uanze kunywa upya,mpe mtu kampan kiroho safi wewe hujawahi kuchangia harusi ukaambiwa inafanyika mkoani sasa wewe kwa slogan hii si utataka kupigana kabisa?
Mkuu bora utoe kwa hiyari kama wewe, nasema michango mingine kulazimishana ndio tatizo.
Wewe uwezo wako ni 300k na haiumi mwingine hiyo 300k ni msingi wake wa kuanzia maisha. Umegundua tofauti hapo? Vp kama ungeombwa sana uchangie 1M?
 
Back
Top Bottom