Ushauri: Mke anataka mtoto, mimi sina uwezo huo

Naa191

Member
Oct 1, 2016
66
57
Habari za mchana,

Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeoa miaka miwili iliyopita na nampenda sana mke wangu.Nimejaribu kumpa mimba mke wangu kwa miaka 2 hiyo lakini imeshindikana, ilinibidi niende kwa doctor katika hospitali moja hapa jijini lakini baada ya vipimo ilionekana sitoweza pata Mtoto maishani mwangu, nimeumizwa sana na hili tatizo.

Ninahitaji ushauri kama nimwambie mke wangu juu ya hili au nikae tu kimya? Ikumbukwe kwamba tupo mikoa tofauti kwa ajili ya majukumu ya kikazi na yeye kapania sana kupata mtoto December hii kwamba kajiandaa kuchukua likizo ili abebe mimba atakapokuja.

Naombeni mnishauri nifanye nini juu ya hili maana yeye hana tatizo lolote kwenye kizazi chake ila mimi ndio kwenye tatizo.

Nipo tayari kushauriwa hata kukejeliwa pia.
 
Kitu cha muhimu kuliko vyote ni wewe kutambua kuwa kutopata mtoto sio kosa wala sio dhambi. Hata hivyo, anayetoa watoto sio daktari, ni Mungu mwenye nguvu na uweza wote. Ishi na mkeo mkitarajia na kumtumaini Mungu. Mwambie tu ili baada hapo maisha yaendelee kwa maamuzi mtakayochukua pamoja.
 
Habari za mchana, Mimi ni Kijana wa miaka 30 nimeoa miaka miwili iliyopita na nampenda sana mke wangu.
Nimejaribu kumpa mimba mke wangu kwa miaka 2 hiyo lakini imeshindikana, ilinibidi niende kwa doctor ktk Hosp moja hapa jijini lakini baada ya vipimo ilionekana sitoweza pata Mtoto maishani mwangu, nimeumizwa sana na hili tatizo.
Ninahitaji ushauri kama nimwambie mke wangu juu ya hili au nikae tu kimya? Ikumbukwe kwamba tupo mikoa tofauti kwa ajili ya majukumu ya kikazi na yeye kapania sana kupata Mtoto December hii kwamba kajiandaa kuchukua likizo ili abebe mimba atakapo kuja.
Naombeni mnishauri nifanye nn juu ya hili maana yeye hana tatizo lolote kwenye kuzazi chake ila Mimi ndio kwenye tatizo.
Nipo tayari kushauriwa hata kukejeliwa pia.
kapime walau mare mbili...Jiridhishe kweli una tatizo..huwezi jua..pengine tatizo lako linaweza kuwa na ufumbuzi...
..Baada ya hapo ndio utakuwa muda sahihi wa kujua kipimo cha mapenzi ya mkeo kwako...
 
Kitu cha muhimu kuliko vyote ni wewe kutambua kuwa kutopata mtoto sio kosa wala sio dhambi. Hata hivyo, anayetoa watoto sio daktari, ni Mungu mwenye nguvu na uweza wote. Ishi na mkeo mkitarajia na kumtumaini Mungu. Mwambie tu ili baada hapo maisha yaendelee kwa maamuzi mtakayochukua pamoja.

mkiwa mnafunga ndoa am sure nyote mlikula kiapo cha kupendana kwenye shida na raha so kama ilitoka moyoni mwake kweli basi hilo halitampa shida coz ni mapenzi ya mungu no way out,,,na inabidi aelewe na ubaki kuwa mme wake na upendo ubaki pale pale,,,siku zote anything happen with a reason,,,itauma kweli, ila mwambie na umuombe Mungu awe tulizo la moyo.basi.
 
Pole sana. Kama utaona ugumu mwambie mkaonane na daktari na baada ya hapo mtapima ili kama matokeo yakitoka hivyo hivyo ajue wazi. Kunyamaza kwako kutamfanya awaze mengi na kupunguza upendo baina yenu
 
Daa
Subir aje then usimwambie chochote, muombe muende kwa Dr for body check up but mwambie Dr. Afanye vipimo then awafanyie canceling wote kwa pamoja.
 
Kitu cha muhimu kuliko vyote ni wewe kutambua kuwa kutopata mtoto sio kosa wala sio dhambi. Hata hivyo, anayetoa watoto sio daktari, ni Mungu mwenye nguvu na uweza wote. Ishi na mkeo mkitarajia na kumtumaini Mungu. Mwambie tu ili baada hapo maisha yaendelee kwa maamuzi mtakayochukua pamoja.
Nimekuelewa kaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom