USHAURI: Rais Magufuli usiwasahau waliokusaidia kushika utawala ndani ya CCM!!

shige2

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
8,106
3,967
Kwanza nataka kukupa pongezi kama rais wangu ambaye kwa Mtazamo wangu Mungu alikuinua wakati muafaka wakati Tanzania ililikuwa tayari mikononi mwa Cartels/ Majambazi wa KIUCHUMI.
Tangu uingie madarakani HAMNA mtu ambaye hajaona effects za JUHUDI zako. Kando ya WACHACHE ambao walikuwa wamezoea kula vya bwerere/easily found through dubious ways/ Njia zisizo halali!

Juhudi zako ziko wazi. Hata hivyo do not take that for granted!

Pamoja na hizo POSITIVE achievements zako ningependa kUKUPA ushauri.

Kwanza by DESIGN mimi SISITAHILI kuwa mshauri wako maana mimi ni mwananchi wa kawaida tu na wewe kama rais WANGU una washauri wa kutosha kiasi kwamba unaweza kuchukuwa ushauri wangu NEGATIVELY ama POSITIVELY. Maana una uamuzi wa mwisho.

Moja ya tabia yako ninayoipenda ni kuwa wewe si mtu ASIYESHAURIKA na wala kuweka mambo moyoni mwako siku zote milele. Having been a SEMINARIAN and a devout Christitian una moyo wa KUSAMEHE,, hilo ndo lanipa UJASIRI kukukushauri.

1. Jaribu kuwakumbuka WOTE WALIOKUSAIDIA kufikA MAHALI ulipo sasa WAKATI WA kampeni zako.

2. Kuna Makada wa CCM waliposikia MAGUFULI ndo mbeba bendera wa CCM they worked so HARD ili uwe RAIS.
Si kwamba walikuwa flawless/ wasiokuwa na MAPUNGUFU bali walisahau upungufu waliokuwa nao wakaweka juhudi zao WAKISAIDIE CHAMA/NA WEWE uwe rais.

3. Ushauri wangu ni kuwa hawa watu USIWASAHAU na KUWATUPA.

KUMBUKA wengi WAO WANAIJUA mikakakati na mbinu za CCM kwa ndani sana.

Hivyo KUWATUPA kutakupa changamoto kubwa sana ifikapo 2020 na si GUARANTEE uchukuwe muhula wa pili.MAANA SIASA duniani sasa ZINABADILIKA.

Kindly MAINTAIN FRIENDSHIPS.It Pays.!!!

Ni Rahisi sana mtu kukuambia achana nao.Bila wao kujua madhara yake na kuwa hawa watu wana SIRI nyingi na MBINU nyingi za CCM. The BEST way kama hawahusika na UFISADI CHUKULIANA NAO.

KAMA VILE MWALIMU Nyrere angemwacha mtu nje kama WAZIRI kwa mwaka mmoja na BAADAYE angempa WIZARA ama kazi nzuri tu.
. Si kwamba hao jamaa walikuwa WAKAMILIFU bali ni HEKIMA ya Nyerere aliyokuwa nayo katika kubalance kati ya kuwa TECHNOCRAT na kuwa MWANASIASA. That is why he succeeded

USIPO BALANCE haya basi 2020 itakuwa ni vigumu sana kwako.
Nasema hivi kwa sababu kuna WANAFIKI WENGI wanaokusifu kwa midomo yao lakini mioyoni MWAO wako mbali nawe. Sisi tulio nje tunaona.!!!

Wataalamu wa kisiasa husema SIASA ni DYNAMIC. One week in Politics is long enough . Anything CAN HAPPPEN/CHANGE

Kuna wakati MWINGINE KATIKA MAMBO YA KISIASA inabidi UFUNGE MACHO ili upenye. Lakini mtu akisema "SITAKI mtu ANIFUNDISHE"

Then the outcome becomes worse than anticipated.

NB: KUMBUKA kuna MAKADA wa CCM waliolalal MSITUNI wakikufanyia kampeni ili USHINDE.
HONESTLY speaking you might need them. Hivyo basi vikosa vingine vidogo vidogo USIKUBALI vikutenganishe nao.

KUMBUKA 2020 SI mbali sana unaweza UKAWAHITAJI!!!
 
Kuna watu walioona potential ya uongozi ndani yake. "Na kama utani wakamwambia Si na wewe ujaribu?" Japokuwa yeye hakuwa na UCHU wa madaraka. Hiyo ndo pointi yangu.
Ama unaionaje?
 
Umetoa ushauri honestly...lakini pia nisingependa kuona hao wanaohisi kuachwa pembeni ingawa walikesha wakitumia kigezo hiko ku-dilute mabadiliko makubwa yanayoendelea....

Rais alipoingia madarakani alisisitiza sasa ni muda wa kazi tu ...blah blah za siasa za uongo na kweli zikae kando.

Aliyasema haya kwa kujua kuwa kipimo cha utendaji wake ni ilani na ahadi zake kwa wananchi...hilo ndio deni kubwa kwake kwa miaka mitano hii.

Yoyote anayetaka kumyumbisha au kumkwamisha kwa njia yoyote ile hata kama ni mkewe basi hamna budi bali ni kushughulikiwa vilivyo.

Nchi ndio inatakiwa kwenda hivyo ili tujinasue kwenye tope zito la miaka zaidi ya 50.

Nani wa kutunasua kama si huyu John Pombe Magufuli?

Waliokosea wakiomba msamaha sioni ni kwa nini Mh.Rais asiwasamehe??kama unakumbuka kuwa Rais alisema wapo ng'ombe waliokatwa mkia kwenye kutangatanga kwao...hilo ni muhimu kukumbukwa.

Waliomsupport walifanya hivyo kwa ajili ya Taifa na si kwa manufaa ya Tumbo zao au la Magufuli...naamini hawataacha kama kweli wanaipenda Tanzania....na watakaoacha watakuwa wameachana na legacy .

Naamini wapo wapya watakaoibuka kama wapiganaji wapya na watiifu na wenye mbinu bora na za kisasa za mapambano.

All in All CCM nyakati uchaguzi ndani ya Chama husigana ila baada ya Uchaguzi wote kwa ujumla huenda kusimamia utekelezaji wa Ilani.

Pia isije ikatokea watu flani wakajidai walipambana mno kuliko wengine ilihali wao walikuwa ni ndumilakwili...!

Naamini kabisa Rais anawatambua na kuwashukuru siku zote iwe hadharani au sirini wale wote waliompigia kampeni,waliompigia kura na watanzania wote kwa ujumla na upekee wao.
 
Mkuu umeeleza kwa ufasaha mkuu na undani uliyojaa hekima.Jambo la kukumbuka ni kuwa unapokuwa rais ni sawa na dereva wa basi. Kuna kila ina ya watu na tabia tofauti.

Hii nikimaanisha hata wakati ule kuna wengine walikuwa NUSU Lowassa Na nusu CCM just in case kama ilivyo hata vyuoni MOB PSYCHOLOGY? Si kwamba mzee anataka kuonyesha tabia za utoto bali ni ule UMATI unakoelekea unamfanya afikiri kila mtu yuko huko na SI KWELI.

Msamaha huja kawa kuonesha MABADILIKO. Hamna haja ya kuwa na KINYONGO kwa kosa kama hilo hasa kama ukivyosema MTU AKIOMBA !SAMAHA. Ili chama kisonge mbele. Ama nimekosea kuuu?
 
Back
Top Bottom