Tanzania Njema Yaja
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 3,042
- 2,417
Wakuu, napenda kutoa ushauri tu....
Kwa kuwa TL amekuwa mstari wa mbele kupigania haki ya watz kunufaika na rasilimali zetu hasa madini. Nakumbuka kumuona TL kwenye TV miaka ya zamani akitokwa povu la uzalendo hasa kuhusu madini na kwamba tunaibiwa...
Na kwa hivi karibuni, TL amekuwa akitoa ushauri wa nini kifanyike ili sisi kama taifa tuweze nufaika na hali tuliyopo kwa sasa kwa mtego tulio utega wenyewe.
Kwa kuwa TL ni mwanasheria mbobezi na suala la madini analijua vizuri, na kwa kuwa Tz ni yetu sote na kwa kuwa maoni ya TL yanaonekana kama wana CCM hawayapendi, wakati wote na hasa kwa kipindi hiki cha Makinikia, ili kubalance kamati ya majadiliano (negotiation team) na hawa wawekezaji, nashauri TL awe katika wajumbe wa kamati hiyo. Ukweli ni kwamba aliyo kuwa anayapigia kelele TL miaka ile ndo yanayo onekana kwa sasa.... tumpe nafasi atatusaidia..