Tatizo la kutoa shahawa zenye mchanganyiko na damu

Nyanje

JF-Expert Member
Jul 25, 2013
494
375
Wataalam nina tatizo la kutoa shahawa zenye mchanganyiko na damu. Tatizo hili limenianza siku ya pili na ni mara ya kwanza.

Kabla sikuwahi kupata tatizo hili hata nipige goli tatu.

Nini tatizo na madhara ya hiyo hali.

Nawasilisha.



Maswali yenye mfanano
Hivi mtu ukipiga bao na lile bao likawa kimechanganyikana na damu.Je, huu ni ugonjwa gani?

Kwa kifupi nimefanya majaribio kwa kupiga punyeto alafu cha kushangaza sina maumivu yoyote.

Wakuu naombeni msaada na nikienda haja ndogo sipati maumivu yoyote.

Naombeni maelezo wakuu.
Ndugu zangu,

Nimemaliza kufanya tendo la ndoa, lakini cha ajabu hizi shahawa zangu zimetoka na damu, hali hii imeniogopesha kuendelea na tendo la ndoa.

Ndugu zangu je hii hali ya shahawa kutoka na damu ni hali ya kawaida au nitakuwa na tatizo? Bao la kwanza hali ilikuwa hivihivi bao la pili hali bado ni vilevile yaani unaona shahawa lakini zinadamu mbichi kabisa.

Msaada ndugu zangu wa mawazo ushauri tafadhari maana huyu mwanamke niliye naye ningekuwa simfahamu ningesema labda nimekutana na jini.

--
Mrejesho kutoka kwa mwalidebe
Kwanza natanguliza shukrani kwa uongozi wote wa JamiiForums kwa jinsi ambavyo mnafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha watanzania tunapata kile kinacho hitajika kwa wakati ubora na usahihi.

Pili niwashukuru wanachama wote wa JamiiForums kwa ushauri maoni yenu na maelekezo ingawa wapo wachache wananikatisha tamaa badala ya kunisaidia tatizo langu.

Ndugu zangu ilikuwa ni baada ya kukutana na mwanamke ndipo nilikugundua hali isiyo ya kawaida baada ya kuona shahawa zangu zimekuwa damu,hali hii iliniogopesha ndipo nikaja kwenu kuomba ushauri.

Baada ushauri wenu wengi wakisema nenda hospitali ukamuone daktari ni kweli nilifanya hivyo,nikaenda kumuona daktari.

Daktari alinipa tiba baada ya kufanya vipimo na kugundua nilikuwa na UTI mkali baada ya kunipa vidonge nimevitumia nikamaliza na sasa imepita karibia wiki mbili tangu nimalize vidonge.

Sasa leo imebidi nifanye tena mapenzi ili nijilizishe je nimepona? Ndugu zangu baada ya kufanya mapenzi na kutoa shahawa hali imekuwa ileile damu tu! Kwa ufupi bado tatizo liko pale pale shahawa zinatoka za damu.

Wapenda ndugu zangu naomba sana mnisaidie nini nifanye tena ilihali nimekwenda hospitali lakini bado matokeo ni yale yale shahawa zinatoka Ila zimejaa damu na damu ni nyingi kuliko hata shahawa zenyewe.

Please I need help.
 
Unatumiaga condom ukiwa unasex au upo na mtu mmoja unaemuamin uke una maradhi mengi ya zinaa ni vyema ukaenda hospitali
 
Hivi mtu ukipiga bao na lile bao likawa kimechanganyikana na damu.. Je huu ni ugonjwa gani? Kwa kifupi nimefanya majaribio kwa kumastabate… halafu chakushangaza… sina maumivu yoyote… wakuu naombeni msaada… na nikienda haja ndogo sipati maumivu yoyote… naombeni maelezo wakuu
 
Itakuwa mishipa midogo midogo mmoja wapo umepasuka wa kwenye maeneo ya kutoka kwenye korodani, ndiyo husababisha damu kidogo kuchanganyika na manii/shahawa. Inaweza kusababishwa na uvimbe kwenye korodani, utumiaji wa madawa makali.

Ni tatizo ndiyo lakini kama upo chini ya miaka40 litaondoka lenyewe, likiendelea na kuanza kukuletea maumizi wahi hospitali kwa uchunguzi zaidi. Ni tatizo lililo nadra sana kujitokeza kwa mwanaume chini ya miaka40.
 
the problem inahitaji immediate medical attention

there are so many causes
 
habari tatizo linaweza kuwa katika testis au inflammatory of epidimis au prostate gland

kwa maelezo ya mechanism check me 0765650028
 
Kuna jamaa yangu juzi alipokua anatia ile kupizi anatoa mchanganyiko wa semeni na damu.

Naomba nisaidiwe tatizo linaweza kuwa nini.

huyo jamaa yako korodani zake zipo tupu hakuna shaawa zaidi ya kutoa damu tu.
mwambie aende akaongeze damu ktk bank ya damu.
 
Huyo jamaa yako alikuwa anapiga show kavukavu, na ndomu au alikuwa anapiga nyeto? Au ni wewe? Na wazungu wakitoka anapata/unapata maumivu? Jibu haya maswali usaidiwe.
 
Kuna jamaa yangu juzi alipokua anatia ile kupizi anatoa mchanganyiko wa semeni na damu.

Naomba nisaidiwe tatizo linaweza kuwa nini.

Yafuatayo ni majibu.yawezekana alipata tatzo la ajali akapata jereha kwenye korodani zake au alikuwa anapiga sna mastabation pia yawezekana tatizo la magonjwa ya zinaa sugu hasa kisonono.
 
Aache Ku_do kwa muda wa wiki 2 akija kuanza hiyo hali haitakuwepo

wiki mbili haitoshi mkuu... hapo inabidi asijamiiane wala kupiga punyeto kwa angalau mwezi mmoja, ale vizuri, afanye mazoezi, apunguze stress, baada ya huo mda atest tena, akiona damu basi akachunguzwe hospital, ula kama ni tatizo la kawaida kwa huo mda lazima lijirekebishe na sperms zinakuwa zimetengenezwa.
 
Mwambie huyo "jamaa" wako awache ufalaa, humu hamna diagnosis sahihi..aipeleke hiyo dudu hospitali na akaseme ukweli, akizembea itaziba au hata kuanza kuoza kwa ndani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom