Ushauri Mazda Axela (Mazda 3)

Sir Elly

Member
Oct 25, 2012
24
151
Habari wakuu! Naomba kujua ubora na efficiency ya Mazda Axela (Mazda 3). Nna lengo la kuagiza ya cc 1500 au 2000, ila kabla sijafanya hivyo nadhani ni vyema kuomba ushauri kwa wanaozijua na wazoefu wa magari kwa ujumla.

Happy New Year 2016!
 
mi nikupe ushauri as long as umeipenda nunua kila mtu na matunzo yake ama matumiz yake hapa kuna watu kazi yao kusema HIYO SIO GARI!!!
 
mi nikupe ushauri as long as umeipenda nunua kila mtu na matunzo yake ama matumiz yake hapa kuna watu kazi yao kusema HIYO SIO GARI!!!

Ni kweli kabisa. Nlitaka kusikia walau kwa aliyewahi kuitumia (kumiliki) kuhusu mazuri na mabaya yake ili nijue nini cha kuexpect!
 
Kanunue ila ulizia fundi yoyote gereji kama spea zinapatikana kirahisi na mahudhurio ya hizo gari clinic yaan gereji
 
Back
Top Bottom