Wasalaam wakuu.
Naomba wataalam wa kuezeka nyumba wanijuze kuna umuhimu gani kutumia bati gauge 28 badala ya gauge 30?
Je, nikitumia gauge 30 kuna tofauti yoyote itakayokuwepo kimuonekano?
Vipi pia kuhusu ubora?
Mwisho ningependa kujua utofauti wa bati za Alaf na counterparts(Dragon, kiboko na wenzake).
Nijue pia kidogo kuhusu ANDO roofing Vs Alaf nani zaidi?
Eneo la mradi: DSM
Fursa Pesa naomba comment yako hapa mkuu.