Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Mkuu umefanya jema kututangazia hizo patapotea(green card lottery)

Chakuongezea kuhusu US green card lottery tovuti (website) ziko nyingi za kitapeli Muhimu
Iwe .GOV (government) www.us department of states.gov.dvlottery
Hii tovuti NI bure kabisa ukiulizwa pesa kimbia.
Ukijaza hizo forms kwenye (smart phone) Au I pad Au kumputer lazima uandike kwenye kitabu ili ukumbuke maana maswali ya hizo forms yatarudia Tena.
Picha NI Muhimu sanaaaaa tu.Kama unaishi Dar nenda sehemu za karibu Na posta ziko studio ambazo wanapiga picha zinazo takiwa kwenye hizo form na watakuwekea kwenye flash au wataku e mail Au waambie unataka kuzituma Kwenye form za (green card lottery)
Bei sijui Lakini uwe Na sh.10k
Kama forms huzielewi leta jukwaa hili
Wako wataalamu watasaidia.
Jamani hizi ndio fursa jaribuni NI bure kabisa
Gharama ni kwenye picha tu.
USAJILI UTAANZA TAREHE 02 mwezi wa tano
MAY 02 2017
Kila la kheri
Nashukuru mkuu
 
katika suala la card ya bank nazani unaweza watafuta payoneer mastercard hawa unaweza jiunga online na wanakutumia card... ambayo utaweza itumia katk ATM zozote znazo kubali visa card na unaweza fanya malipo pia online hasa kuamisha pesa kwenda pay pal... kama kuna la kuedit hapo mna karibishwa...
Mutasha Hongera Mkuu.
Kabla hujaenda nchi husika Tafadhali GOOGLE
Kuhusu hiyo nchi.Visa NI kiasi gani? Je ziko hostel Au wanaziita (backpakers) ambazo NI rahisi mnakuwa Watu watano Au zaidi bei NI ndogo Au unaweza ukalipia kulala Na chakula Kwa kufanya kazi Ktk hiyo hostel.
Ukifika nchi husika swali la kwanza Toka kwa Askari wa uhamiaji "Nini Madhumuni yako kuja hapa" kumbuka ume kwisha i Google hiyo nchi
Mfano utalii Au historia ya mtu maarufu .
Muhimu uwe umebook hotel Au hostel.
Usiseme unakiasi gani cha pesa Lakini lazima uwe na$$$$$ Na kama unayo kadi ya bank ambayo unaweza kutoa pesa Ktk hiyo nchi husika itakusaidia.
 
WAKUU,

SAMAHANI KIDOGO,
WALA SI KWA NIA MBAYA ILA NI VEMA KUULIZA.

HIKI KIPENGELE CHA KUPEANA WATU WA KUCHANGIA GHETTO HICHO "HAPIGWI" MTU HAPO HADI AKARUDI BONGO KWA MIGUU KUPITIA BODA YA MSUMBIJI,
AKATOKEA MTAMBASWALA MTWARA??

NAULIZA TU WAKUU KUHUSU MIRADI YA UDUFUAJI HAPO!
v.JPG
 
Jamani mnaonaje tukafungua kampuni au NGOs iwe ina shughulika na mambo yote tutakayo kubariana kuhusu diaspora na jinsi ya kuwa na wanachama na utaratibu wa kufata na mambo mengine... kama kuwa na office, web nk

NB: ni wazo najaribu kuwailisha kwenu kama kuna mawazo ya aina yoyote e.g kujenga na kuvunja (kukosoa) pia yana karibishwa....
 
sababu kuu kwangu ni kwamba tukiwa katika mfumo rasmi ni rahisi kushirikiana na taasisi mbalimbali zilizo rasmi pia kama serikali kupitia balozi zake na wizara zake, balozi za nchi za nje (eg. malta, germany nk) the same applied na tasisi mbalimbali za nje na ndani...

hapa ni ngumu kuwa na hofu kwa kuwa tutakuwa katika mfumo na hasa kama tutakuwa tukiendesha mambo kiueledi (accountability, transparency nk), ila ni rahisi kuwa na hofu kwa individual kusima katika kila jambo na nirahisi pia watu kukuchafua kwakua

NB: ni mawazo tu...!
 
Stunter, Daby na woote wenye mapenzi mema, Lusungo amefungua uzi muhimu sana na akawaalika kina Izzo na wengineo wenye moyo wa kutusaidia tutoke hapo kwenye Dunia ya 3, kumejitokeza watu wasiopendezwa na kuanza kujenga chuki, kigezo ni huu utambulisho usio tasmi hapa JF. Naomba tufanye yafuatayo, kuanzishwe group la whatsapp kwa wote waliotayari, tuwajulishe kina lusungu, Izzo na wote walio na utayari wa kututoa hapa tulipo waje, pia ile plan no 2 ya Izzo itasaidia kuondoa utata wa id fake, vigezo na masharti ya group kuzingatiwa. Hapa Jf ibakie kuwa baraza letu akitokea mtu mwenye malengo mazuri kwetu tumkaribishe sitting room(whatsapp) Nina imani kwa njia hii Izzo na wengineo watajitoa pasi shaka yoyote.
 
Jamani mnaonaje tukafungua kampuni au NGOs iwe ina shughulika na mambo yote tutakayo kubariana kuhusu diaspora na jinsi ya kuwa na wanachama na utaratibu wa kufata na mambo mengine... kama kuwa na office, web nk

NB: ni wazo najaribu kuwailisha kwenu kama kuna mawazo ya aina yoyote e.g kujenga na kuvunja (kukosoa) pia yana karibishwa....
Mkuu wazo ni zuri lakini jambo la msingi ni tujikusanye kwanza, tutambuane kiuhalisia tuongee tukubaliane, nafikiria tuanzishe group la whatsapp kwanza ili kutuleta pamoja, na hata wa mikoani pia then tuendelee.
 
Stunter, Daby na woote wenye mapenzi mema, Lusungo amefungua uzi muhimu sana na akawaalika kina Izzo na wengineo wenye moyo wa kutusaidia tutoke hapo kwenye Dunia ya 3, kumejitokeza watu wasiopendezwa na kuanza kujenga chuki, kigezo ni huu utambulisho usio tasmi hapa JF. Naomba tufanye yafuatayo, kuanzishwe group la whatsapp kwa wote waliotayari, tuwajulishe kina lusungu, Izzo na wote walio na utayari wa kututoa hapa tulipo waje, pia ile plan no 2 ya Izzo itasaidia kuondoa utata wa id fake, vigezo na masharti ya group kuzingatiwa. Hapa Jf ibakie kuwa baraza letu akitokea mtu mwenye malengo mazuri kwetu tumkaribishe sitting room(whatsapp) Nina imani kwa njia hii Izzo na wengineo watajitoa pasi shaka yoyote.
yule jamaa alikuwa anawapa namba tatu tatu za whatssapp alifake number kwa kutumia baadhi ya apps like talk2 ambazo zinakuwezesha kupata namba toka nchi fulani na ukaitumia hata kama haupo katika hiyo nchi... pia kwa wale wanao jaza taarifa zao za mitandao anaweza akajaza akiwa tanzania lakini aka bbuy address za nchi nyingine mfano canada kwa kutumia site mbali mbali mf. fake phone number generator or fake address generator in order to cheat kwa mitandao inayoitaji kuandika number za simu au address kuonesha kama kweli ni mkazi wa eneo husika...

cha msingi ni kuwa makini na kuandaa utalatibu mzuri...
 
Mkuu wazo ni zuri lakini jambo la msingi ni tujikusanye kwanza, tutambuane kiuhalisia tuongee tukubaliane, nafikiria tuanzishe group la whatsapp kwanza ili kutuleta pamoja, na hata wa mikoani pia then tuendelee.

yeah nakubaliana na wewe ni wadau kuwa tayari na kuonesha utayari...
 
Stunter, Daby na woote wenye mapenzi mema, Lusungo amefungua uzi muhimu sana na akawaalika kina Izzo na wengineo wenye moyo wa kutusaidia tutoke hapo kwenye Dunia ya 3, kumejitokeza watu wasiopendezwa na kuanza kujenga chuki, kigezo ni huu utambulisho usio tasmi hapa JF. Naomba tufanye yafuatayo, kuanzishwe group la whatsapp kwa wote waliotayari, tuwajulishe kina lusungu, Izzo na wote walio na utayari wa kututoa hapa tulipo waje, pia ile plan no 2 ya Izzo itasaidia kuondoa utata wa id fake, vigezo na masharti ya group kuzingatiwa. Hapa Jf ibakie kuwa baraza letu akitokea mtu mwenye malengo mazuri kwetu tumkaribishe sitting room(whatsapp) Nina imani kwa njia hii Izzo na wengineo watajitoa pasi shaka yoyote.
Haha.. hili wazo nililitoa zamani mkuu watu wakakataa. Tunawaza namna moja sijui kisa wote wamasai (joking)
 
we can do bro... but kuwe na utaratibu ambao may be tujadiliane hapa tukubariane hapa kabla ya kuanza utekelezaji hili wote tuwe na sauti moja kutokea hapa....

sijui mnasemaje wadau... nawasilisha
 
MKUU [HASHTAG]#CHILAH[/HASHTAG],

KWANZA NASHUKURU KWA KUNISOGEZEA HILI SWALI HAPA,

NAOMBA NISAIDIWE JIBU KUHUSU UHITAJI WA VISA KWA HIZO NCHI TAJWA.
check previous discussions bro kila kitu kimeelezwa kuhusiana na sadc countries.... na pia kuna mdau alituma nchi ambazo mtanzania anaweza ingia free kwa kutumia pass ya kusafiria den kwa muda fulan anatakiwa kufata utaratibu... (ungezingatia hayo kwanza)

hata dada mmoja aliyekuwa ana karbsha wadau kusini cape town kwa muda wa miezi 3 ni kwamba huo ni muda wa free visa den ndio utaulizwa visa, hivyo nazani kama una lengo la kuishi huko ni wewe kuangaika na visa au wewe kurudi nyumbani ndio maana dada amejaribu kucheza na akili za watu walio serious kwa kutoa baadhi ya vitu na wenyewe kujiongeza kujazia vilivyo bakia...

ila hapa utasaidiwa kila kitu kwa kuwa watanzania ni wa ungwana tutakushauri uli ukafanikiwe au ufanikiwe... kwanza nakushauri pitia maandiko yaliyopita pili pale yalipo miss njoo upate msaada mkuu... na msaada ni kwenda direct ktk swali mkuu...

NB: Nakaribishwa kukosolewa na nakazalika
 
Huu ni utapeli, na anayejifanya anajua kutafutia watu namna ya kuruka ng'ambo naye ni tapeli!!!! Tena kuweni makini hawa ni matapeli!!! Ni type ya kina britannica tena unaweza kuta ndio huyu shenzi kabisa...... Matapeli tu hawa
 
Stunter, Daby na woote wenye mapenzi mema, Lusungo amefungua uzi muhimu sana na akawaalika kina Izzo na wengineo wenye moyo wa kutusaidia tutoke hapo kwenye Dunia ya 3, kumejitokeza watu wasiopendezwa na kuanza kujenga chuki, kigezo ni huu utambulisho usio tasmi hapa JF. Naomba tufanye yafuatayo, kuanzishwe group la whatsapp kwa wote waliotayari, tuwajulishe kina lusungu, Izzo na wote walio na utayari wa kututoa hapa tulipo waje, pia ile plan no 2 ya Izzo itasaidia kuondoa utata wa id fake, vigezo na masharti ya group kuzingatiwa. Hapa Jf ibakie kuwa baraza letu akitokea mtu mwenye malengo mazuri kwetu tumkaribishe sitting room(whatsapp) Nina imani kwa njia hii Izzo na wengineo watajitoa pasi shaka yoyote.
Good idea someone has to take action immediately
 
Back
Top Bottom