Ushauri, Maoni juu ya wanyama waharibifu wa mazao, je wauawe kwa sumu?

shamimuodd

JF-Expert Member
Jan 28, 2019
890
1,398
GTs,

Imekuwa ni kawaida wanyama waharibufu wa mazao (mfano kwelea kwelea kuuawa) kwa kutumia sumu.

Je hakuna njia mbadala ya kuwathibiti hawa wanyama waharibufu zaidi ya kuwaua kwa sumu?

Nini maoni yako?
 
Mimi binafsi sipendi wanyama kuuliwa kwa sumu, kwasababu inauwezo wa kutokomeza kabisa aina fulani ya ndege/wanyama, sambamba na kuuwa ndege/wanyama waharibiu na sio waharibifu kwa pamoja.

Njia mbadala zipo kuachilia sumu, kama vile kuna kuweka VINYAGO, MITEGO n.k
 
Tukitokomeza kabisa kunguru weusi kuna hasara gani?
 
Back
Top Bottom