ProBook
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 558
- 257
Wanajamvi,
Najua ni mara nyingi ushajikuta mahali ambapo gari lako linatakiwa ununue spare mbalimbali.
Sasa najua wengi hapa twatengeneza gari kwa mafundi mchundo na najua ushawahi kukutana na scenario ya fundi kukuambia Used spare ni bora kuliko spare mpya na wachache sanah husema spea mpya ni nzuri kuliko used.
Na katika kununua zipo shida kadha wa kadha kama ifuatavyo:
1. Used spare unanunua inakaa maisha marefu sana
2. Used spare unanunua haikai zaidi ya week moja
3. Spare mpya wanunua haikai hata week moja
4. Spare mpya wanunua inadumu kwa muda mrefu sana
Mimi binafsi gari langu lilikiwa na shida ya shookups. Yaani gari nkiendesha lina kelele miguu inagonga masaa yote.
Nikaenda nunua shookups mpya kabisa kwa ushauri wa fundi, baada ya kufunga zikaanza kugonga hapo hapo baada ya kutoka garage na ni shookups mpya.
Fundi akasema oohh shookup mpya na spring za zamani kwa hiyo lazima ziwe zinagonga. Akashauri niende nunua shookup assembly na spring yake ambazo ni used.
Sasa napata shida kidogo, maana nahisi naweza nikanunua used zikawa sio sawa,
Sasa wakuu naomba tushauriane, kutokana na uzoefu, ipi ni spare bora kati ya mpya au used, na kama wataka spare original inapatikana wapi?
Je ni sahihi kununua shookup assembly ambayo ni used?
Gari ni Harrier Old Model