Ushauri: Makonda una kipaji cha kuigiza, kitumie kitakuongezea kipato

Gwajima

JF-Expert Member
Sep 6, 2018
253
406
Nawasalimu wana Jf, nawapa hongera kwa kutekeleza majukumu yenu na kufuatilia jukwaa hili pendwa hapa nchini, leo nina maoni yangu ambayo nadhani yanaweza kuwa na msaada mkubwa sana.

Sanaa ya Tanzania inalegalega kutokana na kukosa watu wenye uwezo mzuri. Siku za usoni watu wengi wamekuwa wakiwalaumu wasanii wa maigizo wa Tanzania almaarufu kama Bongo Movie kwa kukosa ubunifu katika kazi zao za sanaa jambo linalopelekea sanaa hiyo kudharauliwa na watu wengi. Tatizo ninaloliona mimi ni moja tu, wengi wanaoigiza ni watu wanaolazimisha fani yaani wamevamia fani kwa tamaa ya feha za haraka haraka.

Nasema wana tamaa kwakuwa wakikosa fedha basi utaona wanageukia muziki mara wanaweka picha chafu mtandaoni ilimradi tu wapate umaarufu na fedha za haraka haraka. Nataka niwaambie wasanii kwamba kipaji ni kipaji tuu na mwenye kipaji hatumii nguvu kufanikiwa katika jambo analolifanya.

Kwa maoni yangu, Bongo Movie inakosa watu wenye vipaji kama Mh. Paul Makonda ambaye anaweza kubadilika badilika na kucheza scene tofauti tofauti tena kwa ufanisi wa hali ya juu, Mf: Anaweza kuwa mkali, anaweza kulia ghafla tena akaonekana analia, anaweza kucheka, anaweza kuwa mtu wa watu nk. Kwa maoni yangu Mr Makonda ni aina ya wahusika wanaohitajika sana kuokoa sanaa ya Bongo Movie.

Tunahitaji sanaa yetu isonge mbele, nivema tuwatie moyo wale tunaodhani wanaweza kushiriki ktk kukuza sanaa yetu, naamini Mh Makonda ukiingia huko na kutoa Movie itauza Dunia nzima, hata mimi nitainunua, pia utapelekea taifa kupata fedha nyingi kupitia kodi.
Tafadhali, fikiria jambo hili.
 
Paulo Makonda asubiri tu siku zake......Mzee Warioba ni baba yetu watanzania tulio wengi,Tindu Lissu naye ni kaka yetu watanzania tulio wengi,Ben Saanane ni kaka na rafiki yetu,MO Dewji ni mwajiri wa takribani watanzania elfu ishirini,hawa wote Paulo Makonda amewafanyia unyama wa kutisha na wengine alikusudia wafe kabisa.....Mungu yupo tutaona mwisho wake tu......kipaji cha kumwaga damu za binadamu wasio hatia anacho sikatai!
 
Siyaelewi maoni yako
 
Fact..Kweli Tupu.
 
Anasema kanisani " Mimi Paul Christian Makonda" jamani hivi kusema uongo kanisani inaruhusiwa. Kwanini kwenda kumdhihaki Mungu kanisani wakati wewe ni Daud Albert Bashite?!
 
wenzake wameanza mtihani wa form 4 leo sijui alikua wapi maana inabid aufanye kwa jina la Daud albert bashite apate cheti chake apite ivviiii
 
Hata wewe mtoa mada unakipaji cha kusema uongo ungeomba kazi ya dpp ungepata pesa sana

Back
Top Bottom