Ushauri: Makamu wa Rais, Philip Mpango awekwe Karantini siku 14

kina kirefu

JF-Expert Member
Dec 14, 2018
3,996
2,000
Wee mtoa hoja pumbavu kweli elewa huwezi kuingia nchi nyingine bila ya kuwa na covid 19 negative certificate na lazima iwe valid(ni 72hrs only)na aliporudi nchini alifanyiwa rapid covid test pale JNIA,sio lazima kuandika mada kama hujaifanyia utafiti na wewe ni nani wa kuamua kuwa VP awekwe karantiini?
anachomanisha huyo hujaelewa nivema ukauliza
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom