Ushauri: Makampuni binafsi mpime wafanyakazi kilevi

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,582
Nashauri wakubwa wa makampuni waanze kupima kilevi asubuhi wafanyakazi wanapoingia. Nimeonaa makampuni mengi sana wafanyakazi wamezoea kazi na wengine wanaposign unashangaa wanafikaje wamelewa?

Naomba zoezi hili liende na serikalini, kwakweli kuamka wamelewa na kwenda kazini vijana wengi sana imekuwa ni kawaida kabisa na nidhamu ya Kaz imeondoka kabisa.

Sio hilo tuu tungeweza kuwapima na Janaba tungefanya hivyo.
 
Back
Top Bottom