Ushauri: Mahakama ilitaka alipe awamu mbili, kipato ni kidogo

commernder

Member
Mar 5, 2017
34
19
Habari ndugu zangu wana JF,

Kuna rafiki yangu alipelekwa mahakamani kwa ajili ya kudaiwa akawa analipa kidogo kidogo ingawa mahakama ilimtaka alipe awamu mbili pesa yenyewe ya riba millioni moja na laki mbili kipato chake ni kidogo mno kwa kuwa alitetereka kiuchumi.

Sasa juzi kaletewa tena samansi ya pili na mdeni huyohuyo ikiwa haioneshi kama pesa ilipunguzwa sasa haelewi nini anaitiwa, je atafungwa au hatua gani atachuliwa maana kiuchumi kayumba sana wanaojua sheria.

Msaada tafadhali anatakiwa aende Ijumaa hii.
 
Back
Top Bottom