Ushauri: Magari ya Mwendokasi yaongezwe Morogoro Rd leo

NDESSA

JF-Expert Member
May 2, 2013
1,927
2,000
Kuna idadi kubwa sana ya watu vituo vya mwendokasi kuanzia Kimara mpaka Fire.

Naomba wahusika mtatue changamoto hii kwa sababu siku za weekend huwa mnatoa magari machache lakini kwa siku ya leo watu wanafanya manunuzi hivyo angalieni namna ya kusaidia.

Kituo cha fire unaweza kukaa masaa zaidi ya mawili hapo kila gari ikija imejaa watu wanaopanda magari ya Kivukoni wanashukia hapo fire ili wapande magari ya Kkoo hivyo kufanya mrundikano wa watu.
Asante.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom