saleni
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 1,884
- 2,822
Wanazengo kuna kitu nimewaza mpaka basi, nilikuwa nafanyakazi, kwa miaka mingi, nikaacha hiyo sehemu ilikuwa kwenye mashirika ya dini, walinipenda ila maboss wa huku wakinibania mkuu wa shirika alitaka niende kufanyia ltaly, wao wakabana.
Nilivyoacha hawakupenda, niache kazi kwao, walinifanyia sherehe wakanipa zawadi, sasa siku si nyingi walienda home kuwasalimia wazazi wangu, wakaomba namba kwakuwa nilibadilisha, hii mpya, wameniambia jmos niende shirikani kwao nikakubali, tatizo mimi nikiachaga kazi sipendi kurudi hiyo sehemu, naomba mnishauri kwa hili.