Ushauri: Mabinti acheni kukimbilia wazee, Mnatuzalia Wastaafu SASA!

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,919
14,800
Kama kilivyojieleza kichwa cha habari hapo juu

Mabinti naomba tu Muache kucheza na Mungu... Ukiachilia mbali mvua hazinyeshi sasa hivi joto limekuwa kama la Jehanamu!

Mabinti acheni kukimbilia wazee mnaishia kuzaa wastaafu

Picha kamili hapa chini

Asante
IMG-20190222-WA0419~2.jpg
 
Kama kilivyojieleza kichwa cha habari hapo juu

Mabinti naomba tu Muache kucheza na Mungu... Ukiachilia mbali mvua hazinyeshi sasa hivi joto limekuwa kama la Jehanamu!

Mabinti acheni kukimbilia wazee mnaishia kuzaa wastaafu

Picha kamili hapa chini

Asante
View attachment 1031212
Aisee! Ni hatari maana kwa picha hiyo itabidi waache tu maana hakuna namna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom