jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,558
- 25,322
Mkuu Pasco Lowasa niliyemuona jana kwenye TV hayuko Fit kama alivyosema na nakuambia HAWEZI hata kusimama Jukwaani kwa Dakika Ishirini lazima Aende Chini. Lowasa ni MGONJWA
Anaonekana kama ana jipu kwa kibofu cha kojo, anajilazimisha kucheka ili aonekane angalau angalau! anatembea kwa kujikakamua sana, ene wei taim wili tell. tambueni kuwa binadamu hapendi kufa, anasema yuko fiti tayari kwa mapambano, nani kamwambi kuna vita kama si kutaka tufikiri lowasa! lowasa. nkewe ndio amfikirie hivyo atukome. awageuze geuze wamasai huko huko!! mwambieni asijichuuze.