USHAURI: Kwanini Spika wa Bunge Mh.Job Ndugai asishauriwe kupumzika?

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,269
Wengi tunajua hii si mara ya kwanza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mh.Job Ndugai kwenda India kwa matibabu.

Nakumbuka mara tu baada ya kuchaguliwa kuwa Spika Nov. 2015 mwezi uliofuata yaani wa Dec.2015 alienda India kutibiwa.
spikaz.jpe

Tokea kipindi hicho amekuwa akienda kutibiwa mara kwa mara na wakati mwingine amekuwa akikaa huko kwa miezi kadhaa.

Kutibiwa ni jambo jema kwa vile hakuna binadamu yeyote anayeweza kukwepa, anaweza kutibiwa popote pale na kwa gharama yeyote ile hasa ukizingatia yeye ni mmoja wa viongozi wetu wa juu kabisa kitaifa.

Concern yangu ni kuhusu afya yake kama kweli ataweza kumudu majukumu yake ya Uspika, na utendaji wake wa kila siku akiwa kama Kiongozi Mkuu wa Muhimili mmojawapo wa nchi. Najua ana wasaidizi wake wengi akiwepo Naibu Spika na Katibu wa Bunge, lakini hao nao wana majukumu yao na ni "fulltime job".

Ni kwa nia nzuri tu kwake kwa ajili ya afya yake na kwa ajili ya nchi kuwa, kama ikiwezekana apumuzike na kuwaachia watanzania wengine waweze kumsaidia wakati yeye akiendelea na matibabu akiujenga mwili wake na kuangalia afya yake kwa ukaribu zaidi.

Ni ushauri tu usio na masharti.
 
Sasa akistaafu, pesa za matibabu huko India utamlipia wewe? Je kama anataka kuendelea ili serikali izidi kuhudumia matibabu yake?
 
Wengi tunajua hii si mara ya kwanza Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano Mh.Job Ndugai kwenda India kwa matibabu.

Nakumbuka mara tu baada ya kuchaguliwa kuwa Spika Nov. 2015 mwezi uliofuata yaani wa Dec.2015 alienda India kutibiwa, tokea kipindi hicho amekuwa akienda kutibiwa mara kwa mara na wakati mwingine amekuwa akikaa huko kwa miezi kadhaa.

Kutibiwa ni jambo jema kwa vile hakuna binadamu yeyote anayeweza kukwepa, anaweza kutibiwa popote pale na kwa gharama yeyote ile hasa ukizingatia yeye ni mmoja wa viongozi wetu wa juu kabisa kitaifa.

Concern yangu ni kuhusu afya yake kama kweli ataweza kumudu majukumu yake ya Uspika, na utendaji wake wa kila siku akiwa kama Kiongozi Mkuu wa Muhimili mmojawapo wa nchi. Najua ana wasaidizi wake wengi akiwepo Naibu Spika na Katibu wa Bunge, lkn hao nao wana majukumu yao na ni "fulltime job".

Ni kwa nia nzuri tu kwake kwa ajili ya afya yake na kwa ajili ya nchi kuwa, kama ikiwezekana apumuzike na kuwaachia watanzania wengine waweze kumsaidia wakati yeye akiendelea na matibabu akiujenga mwili wake na kuangalia afya yake kwa ukaribu zaidi.

Ni ushauri tu usio na masharti.

Pambana na maisha yako. Acha kufuatilia maisha ya watu. Kwa kifupi, hayakuhusu. Mind your own business.
 
Wengi tunajua hii si mara ya kwanza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mh.Job Ndugai kwenda India kwa matibabu.

Nakumbuka mara tu baada ya kuchaguliwa kuwa Spika Nov. 2015 mwezi uliofuata yaani wa Dec.2015 alienda India kutibiwa.

Tokea kipindi hicho amekuwa akienda kutibiwa mara kwa mara na wakati mwingine amekuwa akikaa huko kwa miezi kadhaa.

Kutibiwa ni jambo jema kwa vile hakuna binadamu yeyote anayeweza kukwepa, anaweza kutibiwa popote pale na kwa gharama yeyote ile hasa ukizingatia yeye ni mmoja wa viongozi wetu wa juu kabisa kitaifa.

Concern yangu ni kuhusu afya yake kama kweli ataweza kumudu majukumu yake ya Uspika, na utendaji wake wa kila siku akiwa kama Kiongozi Mkuu wa Muhimili mmojawapo wa nchi. Najua ana wasaidizi wake wengi akiwepo Naibu Spika na Katibu wa Bunge, lakini hao nao wana majukumu yao na ni "fulltime job".

Ni kwa nia nzuri tu kwake kwa ajili ya afya yake na kwa ajili ya nchi kuwa, kama ikiwezekana apumuzike na kuwaachia watanzania wengine waweze kumsaidia wakati yeye akiendelea na matibabu akiujenga mwili wake na kuangalia afya yake kwa ukaribu zaidi.

Ni ushauri tu usio na masharti.
yeye anaenda kutibiwa, mwenziye anapiga jaramba kutafuta ubunge wa kuchaguliwa ili lengo lake litimie.
 
shukuru mungu umetoa ushauri huku JF ungerogwa umpe live ungelamba bakora za kutosha
 
Well said mkuu. Angeachana na uspeaker na afocus kwenye afya yake. Pale pana frustration sana. Sasa iyo hali itamamfanya asiweze regain
 
Wengi tunajua hii si mara ya kwanza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mh.Job Ndugai kwenda India kwa matibabu.

Nakumbuka mara tu baada ya kuchaguliwa kuwa Spika Nov. 2015 mwezi uliofuata yaani wa Dec.2015 alienda India kutibiwa.

Tokea kipindi hicho amekuwa akienda kutibiwa mara kwa mara na wakati mwingine amekuwa akikaa huko kwa miezi kadhaa.

Kutibiwa ni jambo jema kwa vile hakuna binadamu yeyote anayeweza kukwepa, anaweza kutibiwa popote pale na kwa gharama yeyote ile hasa ukizingatia yeye ni mmoja wa viongozi wetu wa juu kabisa kitaifa.

Concern yangu ni kuhusu afya yake kama kweli ataweza kumudu majukumu yake ya Uspika, na utendaji wake wa kila siku akiwa kama Kiongozi Mkuu wa Muhimili mmojawapo wa nchi. Najua ana wasaidizi wake wengi akiwepo Naibu Spika na Katibu wa Bunge, lakini hao nao wana majukumu yao na ni "fulltime job".

Ni kwa nia nzuri tu kwake kwa ajili ya afya yake na kwa ajili ya nchi kuwa, kama ikiwezekana apumuzike na kuwaachia watanzania wengine waweze kumsaidia wakati yeye akiendelea na matibabu akiujenga mwili wake na kuangalia afya yake kwa ukaribu zaidi.

Ni ushauri tu usio na masharti.
Usisahau na kumshauri Mbowe vile vile.
 
Back
Top Bottom