Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Kujiandikisha kupiga kura ni jambo moja na kupiga kura ni jambo la pili na siku ya kura ni wazi sio wote wanakuwa eneo waliojiandikisha au watakaokwenda kupiga kura.
Naona kuna haja ya siku ya kura kuwe na dafrari la kuhakiki/kuandikisha wanaokuja kupiga kura ili idadi ije ioane na kura zilizo katika masanduku ya kura.
Hii utaondoa dhana ya wizi na uchakachuaji katika vituo.