Ushauri kwa wote waliotumbuliwa kama Dr. Mwaka


D

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Messages
3,391
Likes
5,723
Points
280
D

dmkali

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2014
3,391 5,723 280
Kila msimu wa Mwaka una mvua yake, kila Mwaka huja na neema zake kwa baadhi ya watu na balaa kwa wengine, Dr. Mwaka akubari au skate ila kiukweli ni kwamba msimu huu wa Mwaka kwa Magufuli, asitegemee mvua zenye neema kwake lwa kilimo chake cha umwagiliaji, anachotakiwa kufanya ni kubadili mazao apande mazao yanayohimili ukame na jua kali kama mihogo n.k.huwezi kupambana na hali ya hewa cha msingi abadilike kulingana na hali ya hewa kama anataka kuvuna.

NOTE; KILA HALI YA HEWA HUJA NA NEEMA KWA WENGINE, KAMA UNAPENDA MASIKA USILAUMU KIANGAZI KWAKUWA NDIYO WAKATI MITI HUPUKUTISHA MAJANI KWA AJILI UOTO WA ASILI.
 

Forum statistics

Threads 1,238,339
Members 475,888
Posts 29,317,217