Ushauri kwa wenye kujua kati ya nursing na veterinary medicine

Dindai

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
925
1,622
Wadau kozi gani kati ya hizo yenye uhakika wa ajira naombeni ushauri kabla sijafanya uamuzi
 
Hamna kozi yenye uhakika wa ajira. Ni wewe utakavyojipanga kupambana na vilwazo vilivyopo. Kuna mkaka alisoma veternary medicine nilimkuta ananisevia juice kwenye ndege. Na akaniambia inamlipa kuliko udaktari
 
Daa! Kaazi kweli kweli daktari anasevu juice kwenye ndege!!!!
 
Wadau kozi gani kati ya hizo yenye uhakika wa ajira naombeni ushauri kabla sijafanya uamuzi

Vertarinary NA nursing huwezi kaa ukakosa kazi asa asa Vertarinary medicine sababu hipo SUA tu na watu wanakuwa enrolled ni wachache at the same time uitaji ni mkubwa wa wataalamu hawa
Sababu wengi wanapenda na wanakimbilia kuwa ma LECTURER ktk medical Schools

Mfano Muhimbili kuna ma senior lecture wawili wote wamesoma BVM

So kama una msuli wa SUA jipange kasome na mshahara wa hawa jamaa ni tofauti ya kama Kilo moja ukilinganisha na Madakitari

BVM IS THE BEST GO AHEAD
 
Nashukuru njunwa wa mavoko kwa ushauri wa kujenga
 
Kapige degree ya Ticketing and Forwading chuo kipo ghorofa ya tatu mkabala na......nursing utaishia kufunga vidonda,BVM utaishia kutoa kupe na kunyunyizia dawa
 
Back
Top Bottom