Ushauri kwa wasioipenda CCM!

[naona unatafuta kuwa diwan wa magamba ushachelewa nakushaur ujipange]

Si tafuti Udiwani, mimi ni Diwani tayari na kiongozi wa vijana wa ccm ngazi ya mkoa!

kumbe!ndio mimavi imekujaa kichwani.usipoteze mda wa watu kujadili mambo ya msingi kaangaike na mavai mbugani huko.tuachie jamvi letu
 
naona mmekuja juu kweli kweli kifupi ni kwamba kama mwaajua kuna ccm hapa Tanzania na ina wanachama kibao basi mimi ni ccm kindaki ndaki, tukananeni matusi yoote mmalize mi kijani kufa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom