Ushauri kwa wasioipenda CCM! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri kwa wasioipenda CCM!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Daniel Muhina, Jun 18, 2012.

 1. D

  Daniel Muhina Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa msomaji mzuri wa Jamiiforums kwa muda mrefu kidogo kabla sijajiunga kwani ni memba kwenye makundi mengine humu mitandaoni kwa kipindi kirefu kidogo.

  Sasa umefika wakati nami nimeona nijiunge rasmi, nimekuwa nikisoma malalamiko mengi leo dhidi ya Mh mwigulu kwa mchango wake alioutoa bungeni jioni, wengi wa wachangiaji wameonyesha kukerwa kwao na hoja zote na hasa kusema kuwa Mwigulu katoa lugha chafu, matusi na mengine mengi kibaya zaidi hata hao nao wamerudia kile kile walichokilalamikia.

  Naomba nitoe ushauri mmoja kwakuwa Mwigulu anafanya kazi ya siasa na wote mlimvamia wenye hoja mbalimbali yaonekana pia mwafanya kazi za siasa naomba niwashauri kuwa Mwigulu kafanya kazi yake ya siasa na kautumia vema muda wake leo, sasa ni juu ya wanasiasa wengine na hasa wapinzani wa CCM wawasiliane na wabunge wao ili kabla ya bunge hili la bajeti kwisha waweze kutoa baadhi ya majibu ambayo mh Mwigulu ameyasema hasa ishu ya Gari la Mh Mbowe na mengineyo!

  Vingineyo nitaamini kuwa Mwigulu kawashika pabaya leo!
   
 2. tanira1

  tanira1 JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 938
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nimegundua wewe ni mmoja wa watu wanaochelewesha maendeleo kule tanga kimbunga hiki hakitakuacha salama hili kuwakomboa wanatanga
   
 3. tanira1

  tanira1 JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 938
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nakuuliza bajeti ya mwaka jana ilikuwa shilingi ngapi na ilielekezwa kwenye miradi ipi na miradi hiyo imekamilika kwa kiwango gani na kama bado chengi yake iko wapi na kwanini tuongeze fedha nyingine wakati iliyobaki haijarudi huuuuwiiiii jamani ccm ni jaaaaaaanga tutakwisha kuendelea na dude hili
   
 4. f

  fered mbataa JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 240
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siasa ni jukwaani, bunge ni chombo cha kuleta maendeleo.
   
 5. B

  Bob G JF Bronze Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ukiwa mjinga na hata ukipata nafasi ya kufikiri utafikiri ujinga, na Ndicho ulichofikiri na ndicho anachofikiri Nchemba, kama unasifa si usubiri tukusifie! inakuaje wajisifu ujinga Nchemba? watanzania sasa wanajua zaidi ya wanaowatawala wanajuwa pa kuwashika
   
 6. G

  GALIMA JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  naona unatafuta kuwa diwan wa magamba ushachelewa nakushaur ujipange
   
 7. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,378
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  onga mshi osie mhina!
  Lushoto,mlalo na korogwe hawajambo???
   
 8. D

  Daniel Muhina Member

  #8
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [naona unatafuta kuwa diwan wa magamba ushachelewa nakushaur ujipange]

  Si tafuti Udiwani, mimi ni Diwani tayari na kiongozi wa vijana wa ccm ngazi ya mkoa!
   
 9. D

  Daniel Muhina Member

  #9
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi ni Muhina siyo Mhina-Tabora
   
 10. a

  andrews JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kama hujala nenda kale mhina naona una njaa:bump:
   
 11. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  WAPI ANGALIA HAPA SIO AIBU? MSOMI WETU? KIJANA, MATUSI HAYAISHI, ANGALIA KIGWANDA SHAME!!!

  [​IMG]
   
 12. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Eti ni Diwani tayari na kiongozi wa vijana wa ccm ngazi ya mkoa, duh! utakuwa umeathirika kweli kweli, yaani wakati vijana wenzako hadi wazee hawataki hata kuhusishwa na hilo genge la mafisadi, wewe hata bila aibu unajitangaza! Kuna watu kweli wana roho ngumu, shame, shame, shame...!
   
 13. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Danny kumbe na wewe ni mwanasiasa safi sana. Ila umefanya jambo la maana sana kuingia kwenye siasa, ushauri wangu ni kuwa jaribu kuwa Pro bono Publico, Mwigulu leo katoka nje mstari. Na inaonekana ana hasira za kupata kichapo Arumeru.

  Otherwise nikupongeze sana kwa kuingia kwenye siasa, wengi tukifikiria adha za siasa tunakata tamaa. Ila nimefurahia sana kwa wewe kuwa muwazi. Masikitiko yangu ni kuwa Tanzania chini ya CCM ambayo haithamini wataalam inafanya wataalam wa IT kama wewe na fani mbalimbali kujikuta wanaamua kuingia kwenye siasa labla wanaweza kufanikisha kitu, niltarajia saa hizi ungekuwa unawaza kuandika programmes za kurahisisha supply chains badala yake unamtetea mwanasiasa mchumi first class anayeshusha hadhi ya first class za UDSM. Ila simlaumu wapo wengi wana first class za madesa.
   
 14. mashami

  mashami Senior Member

  #14
  Jun 19, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Magamba mengine huwa wanatutafutia ban
   
 15. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #15
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ingependeza kama ungejibu mrusha thread hii kama una hoja ya msingi, badala ya kuendelea kutoa majibu majibu ya ulalamishi kama ya wale wabunge ambao wahajiona kama hoja zao ndizo za msingi tu.
   
 16. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #16
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Big up mkuu, umetoa hoja ya msingi kabisa, lakini sasa hawa wana JF wana hoja ya msingi ya kukujibu, badala ya kutukana? Hakika hatujengi bali tunabomoa. Wana JF inabidi tubadilike, kama kweli tunataka mabadiliko tutambue kuwa mabadiliko yanayotakiwa ni ya fikra za watu na siyo ya chama. Unaweza kubadili chama lakni fikra zikawa za watu wake zikawa zile zile.
   
 17. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #17
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mwigulu lazima asakamwe sana kwa vile ni mwiba kwa wanasiasa uchwara, watabaki kutapa tapa sana tu.
   
 18. K

  KISAKA MORIS JF-Expert Member

  #18
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Daah!kweli kazi tunayo kama tutaendelea kuwa na taifa lenye watu kama wewe mleta thread. "Gamba at work!!!
   
 19. K

  KISAKA MORIS JF-Expert Member

  #19
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata kuquote post za wenzako huwez unazifanya ziwe zako'
   
 20. m

  mamajack JF-Expert Member

  #20
  Jun 19, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  etu nyinyiemu kuna ma-star,hivyo lazima uongee ongee vya ajabu ili umentain chart ya u-star kwenye chama.
  ila the hotest one ambaye kwa sasa ameshika chart ni nape.na wewe je ,watafute kuwa juu ya nape???lete porojo tusikie.
   
Loading...