Paparazi Muwazi
JF-Expert Member
- Dec 23, 2007
- 310
- 79
Ushauri kwa wanausalama wa Taifa na wanahabari
Ridhwan Kikwete, mtoto wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anakaribia kuingizwa katika kitendo cha kifisadi. Tarehe 17 Machi 2008 nimepewa nakala barua na mfanyakazi mmoja wa ofisi ya Dean wa wanafunzi wa CBE, ambaye amesema nifuatilia suala hili kwa kuwa yeye anaamini kwamba Dean hatumii nafasi yake kuingilia suala hili kwa kuwa ameambiwa na mtoto wa Rais aliache. Eti kwa kuwa suala lenyewe limhusu mtu ambaye amepewa baraka zote na Lumumba. Wakati ambapo kwa kadiri ya duru za Lumumba kuna wagombea wengine nao wanabaraka za Lumumba. Barua yenyewe inahusu pingamizi ambalo mgombea mmojawapo wa Urais wa wanafunzi, Ally Mayay Tembele ametakiwa kuondolewa kwa kuwa anakosa la kughushi na kuiibia fedha serikali za jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sakata lenyewe liaanzia kwenye tovuti ya Bodi ya Mikopo www.heslb.go.tz ambao bwana Tembele ametajwa kupewa mkopo ingawa ni mwanafunzi wa Diploma. Vigezo vinataka wapewa mikopo wawe wanasomea advanced diploma au degree kama ilivyoelezwa na bodi. Kwa kughushi kwake amevunja sheria ya bodi ya mikopo na. 9 ya mwaka 2004 na anapaswa kufungwa miezi sita. Sasa kutokana na Dean huyo kupewa maelekezo na Ridhwan Kikwete ameshikiniza Tume ya Uchaguzi ikampitisha kugombea Urais pamoja na kuwepo na mapingamizi. Sasa njia pekee ni kwa wanausalama wa taifa, ili kuepusha aibu hii itakayokuja baadaye kumshinikiza Tembele kwa kumpigia simu namba 0713336068 ili ajitoe katika kugombea. Huyu Mayay aliwahi kuwa mcheza mpira wa miguu. Hivyo, watu wa habari za michezo, mpigieni mumshauri ajiondoe kabla hajaanza kuanikwa hadharani. Mambo yote haya Ridhwan anayafanya kwa remote control akimtumia pia ndugu yake wa damu anayeitwa Kiwadi ambaye anasoma CBE ambaye ndiye anayemwaga fedha na vitisho. Hebu iepusheni serikali yetu na aibu hizi za kitoto ili nguvu zote ziwekwe kusafisha uchafu wa BOT na RICHMOND.
PM