Ushauri kwa wanaume wenzangu

LDA COMPANY

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
303
570
Habari ndugu zangu.

Kuna jambo nataka niwashauri wanaume kuhusu suala la kuoa wanawake zaidi ya mmoja.

Naona hata kama wewe ni mkiristo jitahidi uoe zaidi ya mmoja maana hapo ndo wake zako watakuheshimu.

Ila mambo ya kuoa mmoja ni kujitakia ugonjwa wa moyo maana atakuendesha sana. Wanaume hasa wakristo na sisi tuoe wanawake wengi ili kuwafanya hawa viumbe wawe na adabu.

Mimi ni mkiristo ila ntaoa watatu au wanne.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom