Ushauri kwa wanaume mnaofuga madevu!

Kusema kweli niwe tu mkweli mimi mwanaume anaefuga midevu kama Rick Ross wala simpendi, hanipi hata mzuka

Kwanini usikate Madevu yako jamaa

Naelewa Naelewa sijazaliwa jana ujue, Naelewa kazi ya Madevu kit and ani, yanatoa raha na kutekenya lkn doh!

Ila Wanaume went Madevu ni wachaaafuu, mana kama juu ( kaskazini) ana midevu kusini je?!

Naombeni Wanaume wenye Madevu mkate Madevu yenu, kuna style nzuri tu za kukata madevu yanayosaidia kwenye gemu kama style ya Beberu hehehe

Ni hayo tu kwa sasa. ..

I stand to be corrected!

Like I said ni ushauri tu hatugombani

Akina Osama na Rick Ross Mupooo?!

Revolution of beards!!
Zamani wanawake walikuwa wanafuga mandevu meeengi sehemu za siri na wanaume walikuwa usoni wananyoa, siku hizi ni tofauti. Wanawake wananyoa papuchi zao ila wanaume wanafuga manywele usoni.
20180524_151132.png
 
Kusema kweli niwe tu mkweli mimi mwanaume anaefuga midevu kama Rick Ross wala simpendi, hanipi hata mzuka

Kwanini usikate Madevu yako jamaa

Naelewa Naelewa sijazaliwa jana ujue, Naelewa kazi ya Madevu kit and ani, yanatoa raha na kutekenya lkn doh!

Ila Wanaume went Madevu ni wachaaafuu, mana kama juu ( kaskazini) ana midevu kusini je?!

Naombeni Wanaume wenye Madevu mkate Madevu yenu, kuna style nzuri tu za kukata madevu yanayosaidia kwenye gemu kama style ya Beberu hehehe

Ni hayo tu kwa sasa. ..

I stand to be corrected!

Like I said ni ushauri tu hatugombani

Akina Osama na Rick Ross Mupooo?!

Wewe mbona unafuga ndevu za kwapa na hatujaongea?
 
ntalishughulikia na hilo
 
Hahahaaa Peni ya hela aka Money Penny Midevu Suna kwetu Sisi waislamu,ukitaka kuprove zina Mzuka NiPM Tuyajenge,UBECHE wangu kama wa Rick Ross achana na wa MaybachMusic(MMG), The Real Rick Ross.
RRR.jpg
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom