barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,323
- 29,584
Kusema kweli niwe tu mkweli mimi mwanaume anaefuga midevu kama Rick Ross wala simpendi, hanipi hata mzuka
Kwanini usikate Madevu yako jamaa
Naelewa Naelewa sijazaliwa jana ujue, Naelewa kazi ya Madevu kit and ani, yanatoa raha na kutekenya lkn doh!
Ila Wanaume went Madevu ni wachaaafuu, mana kama juu ( kaskazini) ana midevu kusini je?!
Naombeni Wanaume wenye Madevu mkate Madevu yenu, kuna style nzuri tu za kukata madevu yanayosaidia kwenye gemu kama style ya Beberu hehehe
Ni hayo tu kwa sasa. ..
I stand to be corrected!
Like I said ni ushauri tu hatugombani
Akina Osama na Rick Ross Mupooo?!
Revolution of beards!!
Zamani wanawake walikuwa wanafuga mandevu meeengi sehemu za siri na wanaume walikuwa usoni wananyoa, siku hizi ni tofauti. Wanawake wananyoa papuchi zao ila wanaume wanafuga manywele usoni.