Ushauri kwa wanaume mnaofuga madevu!

Kusema kweli niwe tu mkweli mimi mwanaume anaefuga midevu kama Rick Ross wala simpendi, hanipi hata mzuka

Kwanini usikate Madevu yako jamaa

Naelewa Naelewa sijazaliwa jana ujue, Naelewa kazi ya Madevu kit and ani, yanatoa raha na kutekenya lkn doh!

Ila Wanaume went Madevu ni wachaaafuu, mana kama juu ( kaskazini) ana midevu kusini je?!

Naombeni Wanaume wenye Madevu mkate Madevu yenu, kuna style nzuri tu za kukata madevu yanayosaidia kwenye gemu kama style ya Beberu hehehe

Ni hayo tu kwa sasa. ..

I stand to be corrected!

Like I said ni ushauri tu hatugombani

Akina Osama na Rick Ross Mupooo?!


Wanawake acheni kutusema. Mbona nyinyi mnaweka mawigi mengine yananuka balaa. Tuvumiliane tu jamaa
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom