Ushauri kwa Wanaotetea Machinga: Poleni sana, Mlishindwa kufanya kipindi chenu kwa kukosa maarifa! Tulieni wenye maarifa wawaoneshe inavyofanyika

Lazima tuwe na utaratibu, kuna watu wanatamani kila jambo liwe siasa.

Machinga wawe na maeneo maalum tutawafuata huko, miji iwe na ramani ilifika muda hata kutembea service road ni mtihani
Na hili ndo shida! Watu kila kitu wanageuza siasa
 
Machinga wawe na maeneo maalum tutawafuata huko
Machinga hawezi kuwa na sehemu maalum maana bidhaa zake anatembea nazo

anaenda popote akiwa nazo kichwani/mkononi/begani, Rekebisha andika kwamba

wafanyabiashara wawe na maeneo maalum tutawafuata huko,ila machinga waendelee zao

maana hamna alie wasumbua,zoezi hili la bomoa bomoa linawalenga wafanyabiashara kiholela holela.
 
Kwanini unaona kutetea machinga ni jambo baya? Si machinga tu bali mtu yeyote kama ikionekana anaonewa ni vizuri kupata watetezi.

Umeweka mambo kadhaa ya kujadilika kiweledi na kwa uzoefu, kama ambavyo umetaja thamani ya bidhaa ambazo machinga wanatandaza barabarani.- hoja ipo"

Pia umeeleza serikali hatua ilizochukua ikiwemo kuwatafutia machinga maeneo mengine ya kufanyia biashara.- hoja ipo"

Idadi kubwa ya machinga siyo wa mitaji hiyo uliyoisema. Kumbuka kuna mama ntilie humo na wale wauza Mo energy pale buguruni stand.

Lakini mbona hata serikali yenyewe inawatetea machinga akiwemo rais mwenyewe? Kwanini uweke mipasho kama vile machinga ni watu wa kukataliwa?

Mimi binafsi napenda kutetea watu wanaotaabika lakini simo kwenye hizo songombingo zenu na akina polepole.
Wengine hii ni nature yetu kumtetea au kumsaidia yeyote anayetaabika.

Edit huu uzi, ondoa machinga waweke watu wako halafu wapige mawe unayotaka.
 
Machinga ameonewa kwenye lipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom