RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,878
- 5,424
Biashara hii inakuja kwa Kasi sana Nchini ukiangalia kuna makampuni zaidi ya Kumi yanafanya Michezo ya Bahati nasibu....
Sasa kama Unabet hakikisha usiwe na Tamaa maana Kampuni yenyewe haina Tamaa kabisa ya Kula hela nyingi.. hivi haujiulizi kwanini Kampuni inakwambia Weka Buku ushinde milioni 100 au weka Jero ushinde elfu 10 ... Yaani Mwenye kampuni anatoa elfu kumi ila Wewe unaweka jero. Kwa akili za Kawaida Biashara Kubwa Zote zinaweka Mtaji mkubwa ili kuja kukusanya Hela ndogo... Mfano Mtu ananunua Gari la Milioni 150 ili aje Akusanye Elfu 40 za Abiria.. au Daladala ya mil 30 aje akusanye 400 njiani...
Kwahy na bet ipo hivyo... Usitegemee ku win mil 100 kirahisi rahisi kwa kuweka dau La 500 . Bet hela kubwa Upate hela ndogo kila siku utaona faida yake...
Mfano Ukicheza kwa sh 10000 kwenye Odd ya 1.10 hapo utapata 11000 kwa mchezo mmoja.. hiyo elfu 11 tena ukicheza kwenye odd 1.10 itazidi ongezeka buku kwa kila mchezo... Mpk siku iishe utakuwa umeshaingiza zaidi ya elfu 30 kwa siku na umepata faida ya 20 elfu.. ukipiga kwa mwezi una laki 6 au zaidi.. cha Muhimu acha Tamaa ya kuzeza Odd kubwa baadae ujute... kama Totteham Kumfunga Real Madrid
Ni hayo Tu