Ushauri kwa wanao-BET

RGforever

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
6,878
5,424
Biashara hii inakuja kwa Kasi sana Nchini ukiangalia kuna makampuni zaidi ya Kumi yanafanya Michezo ya Bahati nasibu....

Sasa kama Unabet hakikisha usiwe na Tamaa maana Kampuni yenyewe haina Tamaa kabisa ya Kula hela nyingi.. hivi haujiulizi kwanini Kampuni inakwambia Weka Buku ushinde milioni 100 au weka Jero ushinde elfu 10 ... Yaani Mwenye kampuni anatoa elfu kumi ila Wewe unaweka jero. Kwa akili za Kawaida Biashara Kubwa Zote zinaweka Mtaji mkubwa ili kuja kukusanya Hela ndogo... Mfano Mtu ananunua Gari la Milioni 150 ili aje Akusanye Elfu 40 za Abiria.. au Daladala ya mil 30 aje akusanye 400 njiani...

Kwahy na bet ipo hivyo... Usitegemee ku win mil 100 kirahisi rahisi kwa kuweka dau La 500 . Bet hela kubwa Upate hela ndogo kila siku utaona faida yake...

Mfano Ukicheza kwa sh 10000 kwenye Odd ya 1.10 hapo utapata 11000 kwa mchezo mmoja.. hiyo elfu 11 tena ukicheza kwenye odd 1.10 itazidi ongezeka buku kwa kila mchezo... Mpk siku iishe utakuwa umeshaingiza zaidi ya elfu 30 kwa siku na umepata faida ya 20 elfu.. ukipiga kwa mwezi una laki 6 au zaidi.. cha Muhimu acha Tamaa ya kuzeza Odd kubwa baadae ujute... kama Totteham Kumfunga Real Madrid

Ni hayo Tu
 
Aisee nimeielewa hii. Asante
 
Kanji nuksi,utamla mla na kukuza mtaji wako siku utakapo weka 100000 kwa odds 1.10 upate 10000 ndo utakapoita maji mma.
Kanuni ni ile ile Acha tu Tamaa.. yaani kama ni bet basi bet elfu 10 hiyo hiyo kila siku kwa michezo itakayokuingizia Faida kwa siku..maana yanguu ni hii BET WHAT U CAN AFFRORD TO LOSE.. Hayo mambo ya Kujuta sitaki..
 
Hapo sawa mkuu
 
mzee kila cku napga 10k minimum....ukitaka upate milioni kwa jero utasubili xana...na ata ukila ztaisha zote kwa kuliwa......iyo stratergy naitumia xanaaa
 
Mkuu naomba mbinu..unafanyeje fanyeje
 
Naanglia tu.. kuna kupata na kukosa, kupata na kukosa.. and this thing is just too addictive once you are inn double legged. Yaani ukija kufanya analysis mwisho wa mwaka zile ulizopata na zile ulizoliwa kama unatunza kumbukumbu zako utajikuta una net negative...tatizo tunapopata tunajipa moyo kuwa kesho tena napata.. angalia hata kamari za mashine ya kichina kwenye mabaa...
 
Back
Top Bottom