Ushauri kwa wana jf

Nipigie

Senior Member
Nov 2, 2010
121
7
WENGI TUNAAMINI KUWA KWA KUTUMIA MAJINA TOFAUTI NA YALE YA UKWELI HATUWEZI KUJULIKANA. lAKINI BADO HATUJUI NANI WANAENDESHA HII JF. KWA MFANO WATU WENGI WAMETUMIA EMAIL ZAO ZA KWELI KUJISAJILI JF, KITU NINACHO ONA NI HATARI NIKIZINGATIA WATU WANAVYO TOA MAONI YAO. CHA MSINGI KAMA UMETUMIA JINA FEKI TAFUTA NA EMAIL FEKI.
 
Hupelekwi jela, lakini jiulize mwenyewe kwanini umetumia pakawa badala la jina lako kamili.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom