Ushauri kwa wamiliki wa magari ya Moshi-Arusha

bomouwa

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
1,149
797
Habari wanajamvi?
Mqgari mengi yanayomilikiea na wachaga mengi husimama katika hotel za dar exp, kilimanjaro parrot ike ilioko mbele ya kilimanjaro motel..

Lakini iliaminika mabus yaliojiwekea mizizi katika route hiyo ni Dar express na Kilimanjaro ingawa miaka ya karibuni wamekuja washindani wengine kama Hai exp, Kidia1, Ibra line, Machame, n. K

Mtakubaliana na mimi kua magari yanayomilikiwa na Watanzania wa asili ya kiarabu wengi hupenda sana kusimama Hotel za ajabu...

Siongei kwa ubaya ila kwanza nawapa Credits Tahmeed, Raqeeb, naModern Coast kwa kua na gari saaana..

ILA NAOMBA SAAAANA, MKITAKA KUPATA SOKO ZURI TAFADHALI ACHEEEEENI KUSIMAMA LIVERPOOL HOTEL MAANA NI PACHAFU NA HAWANA HUDUMA NZURI..
 
Duh liverpool kwanza ni karibu sana ukiwa unatoka moshi haipo centre.....halafu imeshatoka kwenye viwango vya ushindan kwakweli...
 
Liverpool ya mwarabu mwenzao wanampa tafu. Utagundua hata za waarabu wa moro kama abood na Islam zote kituo Liverpool
 
Raqeeb sio ya Muarab... Ni ya Mpare wa Usangi....

Swala la Msingi ni kuwashauri hao Liverpool waboreshe huduma.... Waache kubweteka hukongwe wao..
 
Kwanini wenye mabasi wengi kwa ruti za Arusha Dar ni watu wa Kilimanjaro na Tanga na wa Mwanza Dar ni watu wa Shinyanga na Singida?
 
Hiyo Liverpool huduma ya chakula ni mbaya kupita maelezo wanatuvikombe vyao vya chai vya makaratasi bei yake miatano vitafunwa hovyo chakula ndo usiseme ki ujumla hiyo hotel siipendi upande wa choo wako vizuri
 
Habari wanajamvi?
Mqgari mengi yanayomilikiea na wachaga mengi husimama katika hotel za dar exp, kilimanjaro parrot ike ilioko mbele ya kilimanjaro motel..

Lakini iliaminika mabus yaliojiwekea mizizi katika route hiyo ni Dar express na Kilimanjaro ingawa miaka ya karibuni wamekuja washindani wengine kama Hai exp, Kidia1, Ibra line, Machame, n. K

Mtakubaliana na mimi kua magari yanayomilikiwa na Watanzania wa asili ya kiarabu wengi hupenda sana kusimama Hotel za ajabu...

Siongei kwa ubaya ila kwanza nawapa Credits Tahmeed, Raqeeb, naModern Coast kwa kua na gari saaana..

ILA NAOMBA SAAAANA, MKITAKA KUPATA SOKO ZURI TAFADHALI ACHEEEEENI KUSIMAMA LIVERPOOL HOTEL MAANA NI PACHAFU NA HAWANA HUDUMA NZURI..

Ukweli wa hali ya juu, juzi wamenisimamisha Liverpool na sitapanda tena tens tena hili bus ingawa Ni zuri Lina use charge etc, pia Ni kapya, well maintained but machafu...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom