Ushauri kwa wamiliki wa bodaboda na polisi

East African Eagle

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
3,759
2,204
Siku ya kupiga kura na siku ya matokeo ya raisi yatakapotangazwa.Siku nzima hizo mbili Bodaboda zenu hakikikisheni mnazifungia ndani.Madereva hawazitumii.ili wasije zitumia kwa mambo ya vurugu za kisiasa mkazipoteza kwenye vurugu bure.Pia itasaidia kupambana na wahalifu wanaoweza zipora kutaka kuzitumia kwa uhalifu au vurugu kwenye uchaguzi na utangazaji matokeo.

Jeshi la polisi na traffic wasimamie sheria zote za barabarani kwa nguvu zote siku hizo hasa kuhusiana na boda boda.Ni boda boda zile zenye leseni tu za biashara ndio ziwemo barabarani na maeneo tu ya biashara wanayoruhusiwa.

Mikusanyiko yote ya boda boda popote lazima iwe na kibali cha polisi ili isije kuwa wanakusanyika kwa ajili ya kusambaa kufanya vurugu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom