Ushauri kwa waliopata mkopo

Spellan

JF-Expert Member
Jun 15, 2011
307
14
Vijana kwanza nawapongeza kupata udahiri pamoja na mkopo licha ya changamoto zilizopo. Msiopata mkopo poleni sana ila msikate tamaa, mkaripoti kigumu ivyo ivyo kwakuwa kuna nafasi za kukata rufaa(Appealing) ndani ya siku 90 baada ya muhula wa kwanza wa masomo kuanza, fomu za ku-appeal mtapata vyuoni mliko pangwa kwa mshauri wa wanafunzi(dean of students), nina imani mtafanikiwa. Mliopata mkatumie pesa izo vizuri, msinunue simu kali, sabufa, TV, na pamba za bei mbaya. Tulieni, someni kwa bidii, muone mbele zaidi(vision) mkifaulu vizuri na GPA nzuri hamtakumbana na changamoto katika soko la ajira. ASANTENI SANA, NAWATAKIA MAANDALIZI MEMA.
 
ushauri mzuri umeutoa. Tunashukuru. Ila vipi kuhusu Archeology..ina nafasi nzuri za kazi?
 
Bila shaka umepata udom, Archeology ni nzuri, na hata kwenye soko la ajira, kwakuwa unaweza fanya kazi pia National museums, hata hata idara ya mali asili.
 
Vijana kwanza nawapongeza kupata udahiri pamoja na mkopo licha ya changamoto zilizopo. Msiopata mkopo poleni sana ila msikate tamaa, mkaripoti kigumu ivyo ivyo kwakuwa kuna nafasi za kukata rufaa(Appealing) ndani ya siku 90 baada ya muhula wa kwanza wa masomo kuanza, fomu za ku-appeal mtapata vyuoni mliko pangwa kwa mshauri wa wanafunzi(dean of students), nina imani mtafanikiwa. Mliopata mkatumie pesa izo vizuri, msinunue simu kali, sabufa, TV, na pamba za bei mbaya. Tulieni, someni kwa bidii, muone mbele zaidi(vision) mkifaulu vizuri na GPA nzuri hamtakumbana na changamoto katika soko la ajira. ASANTENI SANA, NAWATAKIA MAANDALIZI MEMA.
<br />
<br />
sasa huu ni ushauri au unakatsha wa2 tamaa,c bora ungekaa kimya 2 mkuu!
 
Bila shaka umepata udom, Archeology ni nzuri, na hata kwenye soko la ajira, kwakuwa unaweza fanya kazi pia National museums, hata hata idara ya mali asili.
nimepangwa UDSM. Thanx umenipa moyo maana ninaiweza history ila wasiwasi wangu ulikuwepo kwenye kupata kazi.
 
<br />
<br />
sasa huu ni ushauri au unakatsha wa2 tamaa,c bora ungekaa kimya 2 mkuu!

SENETOR,, sorry km nimekuoffend, ila wenzako wameona maelezo ni ya busara na yenye ushauri ndani yke, kwakuwa mie nimepita uko nimeyaona.
 
Tehe kuna shemeji yangu kahonga milioni mbili na laki nne alizopata mwaka jana. Mkwe wangu kampigia simu anamuuliza ada umelipa anasema pesa ilikuwa kidogo, khaaaa wanamdekeza mno eti wanamwangalia tuuu
 
Tehe-tehe tehe,,, alikuwa anapiga pasi ndefu uyo.
 
thanx mkuu kwa ushauri mzuri,nkifika huko nitauzingatia.

Ukazingatie,,, ucje lala njaa ukashindwa concentrate madesa(materials) tehe, tehe tehe,,, nishawahi lalia slace na maji ya ku-download(not boiled).
 
ushaur mzur kwa wale 2sio na mkopo.kumbe inabid 2siache hizo nafasi coz 2naweza kupata mkopo baada ya kuappeal!
 
Ushauri wako mzuri sana hasa kwa wale viumbe watakaopangwa mitaa ya sosho(udom) ukichezea vijicent bs usipopiga lampard utaishia kuuza mbweche huko 84 na kwingneko. Wale walevi hamieni ground floor cuz km elf 5 zilileta maafa cjue 7500 itakuwaje. Karibuni kwa sana ujasini....
 
wewe ni mtu wa tatu kumsikia akiwa anazungumzia hilo. Hapa pana ukweli ndani yake.
 
nimepangwa UDSM. Thanx umenipa moyo maana ninaiweza history ila wasiwasi wangu ulikuwepo kwenye kupata kazi.

Hiyo kozi ni full mashaka ,kuna jamaa aliisoma ilikuwa ngumu kupata kazi akaenda masters akawa anafundisha ,nakushauri utafute kozi valuable zaidi.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom