Ushauri kwa wale ambao wameona watupe stori za visa vyao vya maisha

lordchimkwese

JF-Expert Member
Nov 16, 2015
1,133
2,000
Wakuu kwema kama kichwa kinavosema hapo..

Kumekua na tabia humu ya baadhi ya member kuona waamue kutusimulia visa vyao vilivyotokea maishani mwao lakini wanasimulia kidogo wakati watu wanaona utamu umekolea unakuta maandishi makubwaaa Itaendelea...

Hii tabia inafanya hzo stori zisiendelee kabisa mana nimegundua watu wengi hawapendi matokeo yake wanaanza kejeli kwa muanzisha uzi na badala ya stori kuendelea uzi unakua wakutupiana maneno ya kashfa na wengi huwa wanamaindi hawaendelea tena.

Sasa nashauri ukiona umeamua utupe kisa chako please tafuta muda upo free uandike stori yote si umeamua usimulie sasa mambo ya ITAENDELEA kana kwamba watu wapo JF muda wote miyayusho

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom