Ushauri kwa waangalizi wa kimataifa: - waende kampeni za urais, waone ukombozi

Not_Yet_Uhuru

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,304
431
:A S angry: HAWA WAANGALIZI WA KIMATAIFA: Tunawashauri hawa Waache Tabia ya kulala na kusubiri siku ya uchaguzi - sio watalii hapa, wamelipiwa Kodi na gharama kwa kazi watayoisimamia. Wasisubiri Uchaguzi ndio waanze kufanya 'uangalizi wao wa kisanii' utakaoleta majibu yale yale ya Zimbabwe...! Hawa jamaa wanatakiwa waambatane na Wagombea wanakokwenda, waone performance zao, kauli zao na kukubalika kwao, Wasikilize ni yupi mkweli na yupi msanii anaeneza uchochezi, na waone UKOMBOZI wa nchi unavyokuja, ili baadaye hawa CCM, Tume na UWT watakapochakachua matokeo, kwa uharibifu wao, Waangalizi muweze kuwa Mashahidi kule Mahakana ya Kinataifa -The HEAGUE, dhidi yao wote...!
 
Back
Top Bottom