TCU ifanye utafiti na kuja na kanuni mpya zenye kuipeleka nchi kwenye uchumi wa viwanda. Vyuo vikuu vyetu havina mchango mkubwa kwa uchumi na maendeleo ya nchi kwasababu hakuna tafiti zenye kubuni mambo mapya. Mfumo wa uchumi wa viwanda unahitaji ugunduzi wa mambo(research).
Kwakuwa kuna idadi ndogo sana ya wahadhiri wenye PhD ktk vyuo vikuu hapa TZ, ni vyema TCU ikaboresha kanuni zake na kuweka sharti la kila chuo kukuu nchini kuwa walao na NUSU YA WAHADHIRI WENYE PhD.
Pia TCU ifute vipengele visivyo na tija kwa taifa kama sharti la kiwango cha GPA 3.8 undergraduate ili mtu aweze kuwa mhadhiri na vigezo vingine ambavyo vimepitwa na wakati na vinachangia kurudisha nyuma maendeleo ya kitaaluma na ya nchi.
Mtu mwenye PhD kama anatakuwa mhadhiri basi aingie darasani kufindisha bila kikwazo.