Mahweso
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 1,098
- 1,501
Jengeni vyama vyenu achaneni na maswala ya kuunganisha mawazo yenu na CCM, hata swala la makonda mkilijadiri kwa Sheria inavyotaka mtapoteza muda maana najua mwisho ataambiwa aombe radhi basi, ila nyinyi mkiikosoa Serikali inaonekana matusi na mnafungwa jera kama Lijualikali na Lema na Wengine.
Daini Tume huru ya Uchaguzi, Daini katiba Mpya, Shitakini kwenye Juiya za kimataifa matatizo ya Nchi hii, jijengeni kwa wananchi vya kutosha maana nijuavyo utatumia nguvu kwa muda fulani, utadanganya kwa muda fulani, na Uvumulivu huwa kwa muda fulani.
Hoja yangu kubwa CCM wanawahaada kujifanya wanalalamika yanayofanywa na Magufuri, si kweli wanalalamika, hii ndio mipango yao halisi. CCM sasahivi hawataki kukosolewa Bungeni, kwenye Vyombo vya Habari na Mtaani, Sababu wanajua kukosoa kunaonyesha
Maovu yao,
Wizi wao,
Mikataba mibovu inayolitia Taifa umasikini,
Kushidwa kwa Mipango yote wanayo panga,
Leo ninawaambia CCM iko nyuma ya magufuri, anayofanya Magufuli ni CCM, anayofanya makonda ni CCM, kwahiyo msijidanganye na Kosoa kosoa kutoka CCM ni za uongo ili siku zisonge mbele.
CUF yafaa mtulie sana kipindi hiki maana mpango mzima ni Serikali nzima, wameanza kwenu na sasa NCCR, wanajitahidi mpaka 2020 UKAWA isiwepo, tulieni sana watawagombanisha msipo kuwa makini, Msajiri amejipanga vya kutosha, ushauri wangu kwa Upinzani yafaa wajue Vyama vingi vipo kisheria Dunia nzima, toeni taarifa Dunia ijue matatizo mnayokabiriana nayo kwa maandishi, wote wajue figizu zinazoendelea kuuwa Upinzani nchi hii ya Tanzanaia.
Hakuna mpinzani aliyewahi kuunganisha Mawazo yake na mtawala akafanikiwa. mpinzani huwa anabaki mpinzani, msirogwe na malalamiko ya CCM, ni ya uongo,
CCM wamepanga Vyombo vya Habari kutokuwa Huru,
CCM wamepanga Hakuna Chama cha siasa kufanya Siasa,
CCM wamepanga Kusitangazwe Njaa, ukosefu wa Maji, Tiba na majanga yoyote.
Na ndio maana mnaona wanalalamika, lakini mkiingia Bungeni wanapitisha yaleyale, Mipango ileile siku hadi siku.
Mpinzani ni Mpinzani na Mtawala ni Mtawala, Kuweni wapinzani, CCM malalamiko yao ni yakowadanya Wananchi sio ya kweli, wangekuwa wanalalamika kweli wasingekuwa wanapitisha misheria mibovu kama ya Habari na mengine,
Wasingekuwa wanapitisha bajeti Hewa kila Mwaka,
asanteni