Ushauri kwa upande wa Serikali, zimeni Mitandao ya Kijamii upande wa CHADEMA & ACT, wana CCM hawana makosa wao waendelee kuperuzi

duh kwa kwel wasio na VPN wanaisoma namba haijalishi unamuunga mkono au humuungi mkono bwana mkubwa yaan sasa hivi ili uwe live na kinachoendelea duniani lazima uwe na VPN
 
in your dreams, lazima wote tuumie, mwenyewe ccm, hapa napata joto la jiwe na kijiuliza kama kweli ntapigia kura jpm. Ila wajanja, wanajuwa wanaotumia hiyo mitandao ni wachache sana kuliko wale wa vijijini ambao ndio kula/kura zao..
Sasa kwa nn CCM inatumia nguvu kubwa hivi?.
 
Daaah! Kweli Watanzania wengi bado Ni wajinga sana. Hivi mpaka muda huu bado Kuna Mtanzania anaamini kuwa Lissu atamushinda Jiwe kesho kweli.
Daaaah!! Sihami Tanzania jamani.
Naona hata Kiswahili hujui, We Mtanzania kweli?

"Atamushinda" ndiyo nini??
"Sihami" ndiyo nini?

Jifunze Kwanza lugha Kabla ya kuparamia Siasa.
 
Magufuli na maendeleo yote aliyofanya lkn anaongopa watu wanyuma ya keyboard, ambao sio wapiga kura a ha ha ha kwa namna mnavyosema. Raisi bora kuliko wote Africa anaogopa mitandao sijawahi kuona raisi mjinga mithiri ya Magufuli.
USA walibeza Russia wakaamka na Trumpet. Tulikuwa tunawadekea tu.
 
Back
Top Bottom